Posts

Mshangilie Baba

Mshangilie Baba Heshima utukufu upewe wewe ushangiliwe Baba,wow Wana wa Mungu sifa ni kwa Bwana Yesu aliyeifanya siku hii Na Tumuinue maana anastahili.Haleluyah

MANENO YA HEKIMA

Image
Mafanikio ya kila mmoja aliyeko hapa Duniani, chanzo chake ni KUSIKIA. Uharibifu wowote unaouona huku Duniani, Chanzo chake ni nini, Ni KUSIKIA. Hata wale wezi hawaendi kuiba mpaka wasikie wanaenda kuiba nini, hakuna mwizi atakayeenda kui ba. Hata yule anayefanya uasherati hawezi kufanya uasherati mpaka kwanza asikie, anaambiwa "nakupenda sana, wewe ni mzuri sana,".. basi akiwa anashangaa anashangaa, anashangaa, anashangaa, anasikiliza yale anayoyasikia, yanamvuta, yanamvuta, yanamvuta mpaka anafanya hicho anachofanya; Chanzo chake ni nini?, ni KUSIKIA. Uharibifu wowote unaouona huku Duniani chanzo chake ni Kusikia.USTAWI wowote unaouona huku Duniani, chanzo chake ni KUSIKIA. Sasa ili wewe uwe wa tofauti kuanzia sasa, ili uwe wa tofauti na vile ulivyokuwa hapo nyuma; Lazima pia USIKIE ili uwe wa Tofauti. Ni lazima USIKIE, Usikie nini, Usikie TOFAUTI na ulivyokuwa unasikia hapo nyuma, maana ili UWEZE KUWA WA TOFAUTI, ni lazima USIKIE Tofauti, maana yale u...

WORDS OF WISDOM

Image
The WORD is LIGHT and we are LIGHT of this world. I am LIGHT and LIGHT is the Word and the WORD is GOD; so I AN GOD IN THE WORLD. You need to understand these and understand that it is by this understanding that Adam declared anything and it came to be, for he had the authority of GOD in him.:Apostle & Prophet Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.

KUSANYIKO KUSANYIKO KUSANYIKO 2014

Image
KUSANYIKO KUSANYIKO KUSANYIKO 2014... Mwana wa MUNGU Usikose, KIBALI Ni chako hiki.

EEE YESU WA NAZARETHI

Image
YESU ni Upendo, YESU ni BWANA wa MABWANA, YESU ni Furaha, YESU ni Amani, YESU ni Ushindi, YESU ni UTUKUFU, YESU ni Uponyaji, YESU ni Kuweka Huru, YESU Yeye ni Mambo yote.... EFATHA: Uponyaji na Ukombozi,.... Tunakupenda YESU. Ukifuata utaratibu utajua Majira na Nyakati za MUNGU, hivyo utapokea haja zako. Kama hufuati utaratibu, wakati MUNGU anataka kukutana na hitaji lako wewe umelala nyumbani... Sahau kufanikiwa.

Wana wa MUNGU walioamua kuja kwa YESU

Image
Nendeni duniani kote mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi wangu... Ni agizo la BWANA wetu YESU KRISTO kuwaleta watu kwake, kuwaleta watu kwenye NURU, kuwaleta kwenye kuwekwa HURU, lazima tutafute kilichopotea, Tutafute Kondoo, wengi bado wanateseka katika mamlaka ya nguvu za giza, wakati YESU Alikufa kwa ajili yetu, hebu timiza agizo hili mlete mtu kwa YESU ili naye aondokane na mateso anayopata, huo ndio UPENDO. Pichani: Wana wa MUNGU walioamua kuja kwa YESU, walioamua kuyakabidhi maisha yao kwa BWANA wetu YESU KRISTO, na tunamshukuru MUNGU wetu MUNGU MKUU kwa kutupa Kibali na Neema cha kuwaleta watu kwa YESU KRISTO BWANA wetu kila Ibada, kila Jumapili Efatha Ministry Mwenge, Dar es Salaam, Tanzania.

IBADA YA JUMAPILI 18/8/2014

Image
PICHA MBALIMBALI Ibada ya Leo   Zaituni Mteiya – Shaloom – sikuwahi kuonana na Baba yangu tangu 2005 pia sijaonana na mama yangu aliyeolewa Ulaya. Alipoenda ulaya hakutaka kabisa kuwasiliana na sis watoto wake aliwashirikisha watumishi kuhusu jambo hilo, siku moja Mtume na Nabii alitamka kwamba mwezi huu Mungu ataenda kuwashangaza watu. Mwaka mmoja ulio pita mama alikuwa anawasiliana na mume wangu lakini, alikuwa hatujali wanawe kwa lolote, alikuwa akiwajali na kuwanunulia ndugu zake nyumba na vitu vingine. Mungu alinishangaza baada ya mama yangu kupiga simu na kutaka kuongea na nami aliniomba nimwandalie hotel wakati sio kitu cha kawaida alipokuja mama alinipa pesa nyingi, gari aina ya URO, anamshukuru Mungu sana. Mariamu Mdosa – Shaloom : Mwanafunzi chuo cha muhimbili ninasomea mionzi namshukuru Mungu kwa hilo moja, katika chuo ninachosoma tulitakiwa kuandaa project na mimi nilikuwa sina ujuzi kuhusu kuandaa project. Lakini mwezi huu nilikuwa nimeka a na ...