Wana wa MUNGU walioamua kuja kwa YESU


Nendeni duniani kote mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi wangu... Ni agizo la BWANA wetu YESU KRISTO kuwaleta watu kwake, kuwaleta watu kwenye NURU, kuwaleta kwenye kuwekwa HURU, lazima tutafute kilichopotea, Tutafute Kondoo, wengi bado wanateseka katika mamlaka ya nguvu za giza, wakati YESU Alikufa kwa ajili yetu, hebu timiza agizo hili mlete mtu kwa YESU ili naye aondokane na mateso anayopata, huo ndio UPENDO.

Pichani: Wana wa MUNGU walioamua kuja kwa YESU, walioamua kuyakabidhi maisha yao kwa BWANA wetu YESU KRISTO, na tunamshukuru MUNGU wetu MUNGU MKUU kwa kutupa Kibali na Neema cha kuwaleta watu kwa YESU KRISTO BWANA wetu kila Ibada, kila Jumapili Efatha Ministry Mwenge, Dar es Salaam, Tanzania.


Comments

Popular posts from this blog

Mithali 8:17-21 "Nawapenda wale wanipendao, na wale wanitafutao kwa bidii wataniona. Utajiri na heshima ziko kwangu, Naam, utajiri udumuo, na haki pia. Matunda yangu hupita dhahabu, naam, dhahabu safi, na faida yangu hupita fedha iliyo teule. Natembea katika njia ya haki, katikati ya mapito ya hukumu. Niwarithishe mali wale wanipendao, tena nipate kuzijaza hazina zao." Proverbs 8: 17-21 "I love them that love me; and those that seek me early shall find me. Riches and honour are with me; yea, durable riches and righteousness. My fruit is better than gold, yea, than fine gold; and my revenue than choice silver. I lead in the way of righteousness, in the midst of the paths of judgment: That I may cause those that love me to inherit substance; and I will fill their treasures."