EEE YESU WA NAZARETHI

YESU ni Upendo, YESU ni BWANA wa MABWANA, YESU ni Furaha, YESU ni Amani, YESU ni Ushindi, YESU ni UTUKUFU, YESU ni Uponyaji, YESU ni Kuweka Huru, YESU Yeye ni Mambo yote.... EFATHA: Uponyaji na Ukombozi,.... Tunakupenda YESU.


Ukifuata utaratibu utajua Majira na Nyakati za MUNGU, hivyo utapokea haja zako. Kama hufuati utaratibu, wakati MUNGU anataka kukutana na hitaji lako wewe umelala nyumbani... Sahau kufanikiwa.


Comments