Posts

Showing posts from March, 2014

IBADA KUU JUMAPILI 30/3/2014

Image
Kipindi cha Shuhuda, Wana wa MUNGU walitoka mbele kushuhudia Matendo Makuu ya MUNGU Wetu MKUU Aliyowatendea katika Maisha yao...   Wana kwaya "Mass Choir" wakiwa katika Uwepo wa ROHO MTAKATIFU MUNGU wakiimba na kuwasogeza Wana wa MUNGU mbele za BWANA Kipindi cha Shukrani, Mwenyekiti wa Kamati wa za Kusanyiko Eng. Mwanukuzi alitoka mbele na Kamati yake ya Kusanyiko, kuja kutoa Shukrani kwa MUNGU BABA Yetu MKUU kwa yote Mema na Mambo Makuu Waliyotendewa toka walipoaminiwa na kukabidhiwa Jukumu hilo la kusimamia Kusanyiko, pia walikuja na Zawadi kwa Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira zawadi ya Kiti na Meza Kamati ya Kusanyiko wakitoa Zawadi na kumkabidhi Mtumishi wa MUNGU Mama Eliakunda Josephat Elias Mwingira kwa niaba ya Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira.  

ACHA NIKUIMBIE NA NIKUCHEZEE.

Image
"WEWE ni MUNGU MTENDA MAMBO YOTE, Wewe ni MUNGU Mtenda mambo yote, Wewe ni MUNGU Ninakuinua hii leo, Wewe ni Mtenda mambo yote BABA, Tukikuita unaonekana BABA, Haleluya, Wewe ni MUNGU BABA, Acha nikuchezee BABA, WEWE Ndiwe MFALME, ndiwe MFALME Haleluya, Wewe JEMEDARI, JEMEDARI BWANA Haleluya."

SEHEMU YA MAHUBIRI YA IBADA YA JUMAPILI 9 March 2014

Image
Mtumishi wa MUNGU Mkalimani wetu Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY . "Katika Agano la MUNGU kwetu Mwaka huu amesema ni mwaka wa KIBALI, utaenda kuuona ukuu wa MUNG U, Mwanzo: 12:1-3 (BWANA Akamwambia Abramu …) MUNGU Anaongea na mtu wake “Toka”, na sio watu ila wewe. Ili uweze kuelewa ujumbe wa Kibali fanya KIBALI chako kiwe cha binafsi, Usifanye cha harambee, Kibali chako ni cha kipekee. Kumbuka kuna mtu anashuhudia matendo makuu ya MUNGU aliyomtendea kila iitwapo leo maana yake amemfanya MUNGU kuwa ni wa kwake lakini wewe tangu ushuhudie mwaka juzi hujashuhudia tena, MFANYE MUNGU WA Kwako. TOKA; - Toka wewe katika Nchi yako - kuna tabia za kitaifa/ tabia za nchi zisizofaa, Toka katika hizo. - Toka wewe katika jamaa zako - kuna tabia za jamii/ unawafahamu huko toka, TOKA katika tabia mbaya za jamaa zako unaowafahamu, wanaokuzunguka. - Toka wewe katika nyumba ya baba yako – toka katika tabia za nyumba ya baba yako. Kwa hiyo sisi h...

WHAT CAN CAUSE SUFFERING?

"What can cause suffering? i. Personally. ii. Your parents, iii. GOD Himself. iv. Satan We read (Prov 16:4) “The LORD has prepared everything for His purpose; even the wicked for the day of disaster.” The wicked cannot be cured from his evil, no matter how much you pray for him. He remains evil to the day he dies, for it he is destined for evil. Some will come to church, and they will fast and pr ay with you, but their aim will be to deceive you. GOD spoke to Jeremiah, “I knew you before you were conceived, and I chose and cleansed you. HE cleansed him for HE knew that there are problems that are inherited from the parents. You are born again, you became known to GOD before you were born again, and HE tagged you before you were born again. This is the reason you seek the LORD with tears. JESUS asked, “Can a blind man lead other blind men”? Before you decide to follow a leader, first investigate his life; is it moving forward or is it moving backwards? Do...

SAFARI KUTOKA NCHI TAKATATIFU ISRAEL

Image
Pichani baadhi ya Ndugu, Jamaa na Marafiki pamoja na Watumishi wa MUNGU na Wana wa MUNGU wakiwa Uwanjani tayari kuwapokea Wenzetu toka Israel. Pichani Mtangazaji wa Kituo cha Television cha EFATHA MINISTRY (TRENET Television) nao hawakuwa nyuma kurekodi na kurusha kilichokuwa kinaendelea Uwanjani hapo.   Pichani Familia, Ndugu, Rafiki wakiwa na furaha kuwapokea Familia zao Wana wa MUNGU walipokuwa wakiwasili.   Pichani Msafara ulianza kuelekea Kanisani EFATHA MINISTRY Mwenge.   Pichani TRENET na EFATHA MINISTRY ICT hawakuwa nyuma nao katika kupata yote yaliyokuwa yakiendelea... wakiwa njiani wakielekea na Masafara Kanisani Efatha Mwenge.   Pichani Watumishi wa MUNGU wakiwa wamejipanga kwa Furaha Kanisani EFATHA MINISTRY Mwenge (Sehemu ya Jengo la Ofisi Kuu) tayari kumpokea Mtumishi wa MUNGU Mkalimani wetu Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira. Haleluya... pichani Baba yetu wa Kiroho Mtumishi wa MUNGU Mbeba KUSUDI Mtume na N...