Posts

KUSANYIKO, KUSANYIKO, KUSANYIKO 2015

KUSANYIKO KUU LA BWANA MUNGU WETU MKUU katika Mtembeo wa MUNGU kwa Hao Aliowaridhia USIWE MMOJAWAPO WA KUKOSA,.........Usikose Mwana wa MUNGU, hiki ni Kibali chako cha UPENDO wa MUNGU Kwako, waalike na Wazazi wako, Ndugu zako, Rafiki zako, Jirani zako, Jamaa zako, nao waje Wapokee UPENDO WA MUNGU, Ubarikiwe, YESU Anakupenda.

IBADANI JUMAPILI 14/09/2015

Image
TESTIMONY Hilary Olomi from Keko Dar es salaam God has done great things in my life. One day I started coughing and soon I lost consciences and people from my work place were immediately called and I was rushed to Regency Hospital and I was taken to ICU and I was insulted with tubes of oxygen, afterwards when my Pastor heard about it they came to the room and prayed for me took out the tubes and I was able to breathe without the tubes, I thank God for what He did because by now I could be dead I thank God that am still alive.  SHUHUDA: Naitwa Stella Bernard, Namshukuru Mungu kwa Matendo yake ya Ajabu kwangu, siku mmoja nilisikia Sauti ikiniita kuja Efatha nilitii ile Sauti nikaja hapa Efatha 2011, nilikuwa nina watoto wawili wa kike sikuwa na mtoto wa kiume nilimwomba Mungu anipe mtoto wa kiume na nilipata mtoto wa kiume. Pia tulikuwa kwenye darasa la Ustawi Mtume na Nabii Josephat Mwingira alikuja na pipi akasema kuna mtu hajawahi kufurahi katika ndoa y...

NENO

Image
Efeso 1:3 "Atukuzwe Mungu na Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo! Maana, katika kuungana na Kristo ametubariki kwa kutujalia zawadi zote za kiroho mbinguni." Ukitaka vitu vya ROHONI lazima uwe Mtu wa Ibada, BARAKA zetu zipo katika Roho.

Hakuna SABABU ya kuwa Maskini

Image
- JITAMBUE Wewe ni Nani? - Halafu fanya kwa BIDII.

IMANI

Image
 UNAPOAMINI Yale YASIYOONEKANA Unathibitisha kwamba:- - MUNGU ni KWELI. - MUNGU ni HAKIKA. - MUNGU Yu HAI.

ZIARA YA KITUME NA KINABII YA MTUMISHI WA MUNGU MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA - Efatha Ministry Kenya.

Image
Ni Wana wa MUNGU wa Efatha Ministry Kenya- Nairobi City Centre Church wakiwa tayari kwa Furaha na Shangwe kwa ajili ya Kumpokea Baba yao wa Kiroho Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira.   Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, akiwasili Kanisa la Efatha Ministry Kenya- Nairobi City Centre, Wana wa MUNGU wa Efatha Ministry Nairobi City Centre wakimpokea. Mtumishi wa MUNGU Mchungaji Kiongozi Efatha Ministry Tanga (Kulia) Mch. Consolata Kitundu akiwa pamoja na Mume wake, Wakisalimia Wana wa MUNGU wa Efatha Ministry Mwenge, Dar es Salaam-Tanzania, Jumapili iliyopita (12/July/2015) Ibadani, Alikuja pamoja na Waimbaji wa Mass Choir Efatha Ministry Tanga. Wabarikiwe, walihudumu vema   Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira akiwa katika Nyumba ya BWANA Efatha Ministry Kenya- Nairobi City Centre Church. Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira Akiweka WAKFU Nyumba...

NENO

Image
Rumi 8:28 Nasi twajua ya kuwa katika mambo yote Mungu hufanya kazi pamoja na wale wampendao katika kuwapatia mema, yaani, wale walioitwa kwa kusudi lake. Kusudi la Mungu kukuokoa ni ufanye KAZI pamoja naye ili akupe Mema ya Nchi, kwa muda mwingi sana umefanya kazi zako wewe mwenyewe, wakati mwingine umefanya kazi za shetani. Kwa ujumla Mungu amekusudia MEMA kwa kila ALIYEOKOKA na Mema haya yanapatika kwa KUFANYA KAZI. Bila kufanya kazi na Mungu huwezi kula Mema ya Nchi, yaani Utajiri aliouweka Mungu hapa duniani