Posts

Showing posts from April, 2015

EFATHA MINISTRY KILIMANJARO:IBADA YA JUMAPILI TAREHE 26 APRIL 2015

Image
Uwepo wa UPENDO MKUU WA MUNGU WETU MKUU MWENYE UPENDO KWETU Wanaye, NGUVU YAKE Ikitawala. (Kwa Wewe ambaye unahitaji Msaada wa Kiroho na upo Moshi au popote pale Kilimanjaro, unaweza piga Simu hii:0655788707)

USHUHUDA

Image
Mariam Mwambuta: Kutoka Morogoro nilikuwa naumwa sana natetemeka, nikapata ganzi mwili mzima nikalazwa Hospitali nikiwa nimefumba macho Hospitali nikamwona Mtume na Nabii Josephati Elias Mwingira ametokea mbele yangu akanishika kifuani na mgongoni mwangu sikusikia alicho sema lakini nilisikia sauti ikiniambia umepona. Nilipofika nyumbani nilipata ganzi tena mwili mzima nikazidiwa zaidi, nilikuwa siwezi majirani zangu wakanitoa nje nilikuwa naita Yesu Yesu, Mtumishi wa Mun gu Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira akanitokea tena akaniambia usiogope, baada ya muda kupita nikaona watu wananisukumia kwenye kaburi, mara Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira akaja tena akasema nimepewa mamlaka ya kukanyaga nyoka na ng’e na nguvu zote za yule adui hakuna kitakacho nishinda , akaja akanichukua na kunivuta mkono wake wa kulia, mwili wangu ulikuwa una dalili zote za kuparalaizi nikaamua kuja Dar es salaam, ndipo nilikutana na Mtumishi wa Mungu Mchungaji Daudi Urio wa Efat...

ZONE

Image
Eneo la Tumaini - Kanda ya Mlalakuwa Kituo cha Efatha Ministry Mwenge, Dar es Salaam, Tanzania.

KAMBI YA VIONGOZI

Image
Image
Mtu ambaye hali chakula kila siku na kwa wakati atakuwa na afya dhaifu, magonjwa ya kila namna yatamshambulia na kumtesa. Vivyo hivyo mtu asipo soma Neno na Kufanya maombi kila siku huyu atapata utapiamlo wa kiroho, hivyo atasukumwa sukumwa na kuangushwa na dhambi kwa urahisi. Ukitaka kumshinda shetani jitahidi uwe msomaji wa Neno na uwe mwombaji kila siku aloo! Ibilisi atakaa mbali na wewe, dhamiria; ipo nguvu ya kukuwezesha kuwa mwombaji na msomaji wa Neno.