THE SPIRIT OF KNOWLEDGE


The Word says, God is the one who gives us the power to get rich; God does not give you money, but strengthens your mind, that is, he gives your mind the KNOWLEDGE of how to make profit. This KNOWLEDGE is the SPIRIT OF KNOWLEDGE.

The Spirit of KNOWLEDGE is one of the seven Spirits of God with the Power of God; when He says He gives us the Power to give us Wealth; he means he gives us his Spirit of KNOWLEDGE to enable us to obtain Wealth.

King Solomon, after building the Temple, used the Spirit of Counsel to guide him on what to pray to God and He heard him and the Lord appeared to him in the dream. The Spirit of God asked him what he wanted to be given even though he knew in his place he needed the Wisdom of God, but in order to live well he needed KNOWLEDGE.

As a father you need the WISDOM of GOD, but in order to live well you need KNOWLEDGE. Teaching is very important for a person because he can identify what he is lacking in his life. For a leader to live well he needs the Spirit of KNOWLEDGE.

The more thirsty your heart is, the more God gives it to you. God gives wisdom and knowledge to those who are pleased with Him so that He may be self-sufficient. These spirits help you and make it easier for you to live well on earth.

Swahili Translation:

Neno linasema, Mungu ndiye atupaye Nguvu za kupata Utajiri; Mungu hakupi fedha, ila hutia Nguvu Akili yako yaani huipa Akili yako MAARIFA ya namna ya kupata faida. MAARIFA haya ndiyo ROHO WA MAARIFA. Roho wa MAARIFA ni kati ya Roho saba za Mungu zenye Nguvu ya Mungu; anaposema anatupatia Nguvu ya kutupa Utajiri; anamaanisha anatupatia Roho wake wa MAARIFA ili atuwezeshe kupata Mali.

Mfalme Suleimani baada ya kujenga Hekalu, alitumia Roho wa Shauri, akamuongoza mambo ya kuomba kwa Mungu, akasikia na katika ndoto Bwana akamtokea. Roho wa Mungu akamuuliza anachotaka apewe japokuwa alijua katika nafasi yake anahitaji Hekima ya Mungu lakini ili aishi vizuri anahitaji MAARIFA. Ukiwa baba unahitaji HEKIMA YA MUNGU, lakini ili uishi vizuri unahitaji MAARIFA.

Mafundisho ni Muhimu sana kwa mtu ili aweze kupambanua anachopungukiwa katika Maisha   yake. Ili kiongozi aishi vizuri anahitaji Roho wa MAARIFA. Kadri ya kiu ya Moyo wako ilivyo ndivyo Mungu anavyokupa. Mungu humpa aliyemridhia Hekima na Maarifa ili awe na utoshelevu. Roho hizi zinakusaidia na kukurahisishia kuishi vizuri hapa duniani.

By Servant of God Apostle and Prophet Josephat Elias Mwingira, Efatha Church. 


Comments