Posts

Ibada ya asubuhi ya kwanza inayo aanza saa moja kamili hakikisha unakuwepo jumapili ijayo.Kuna ya Pili saa NNE na ya tatu saa SABA karibu sana.

IBADA YA TAREHE 30/11/2014 NENO LA JUMAPILI NA MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA MKESHA MKESHA MKESHA UTAKUWEPO SEHEMU YA KUKATA MANENO. YOHANA 5:1 – 18  1.       Imani ya Kuona na 2.        Imani kuto kuona Jinsi Yesu alivyo kuwa anafanya maajabu yake YOHANA 5:1-8 Imani lazima ikupeleke mahali lazima ikufikishe kwenye hitma ya kile unacho kitarajia. Yerusalemu hapo kunakitendea kazi, bilika liko pale Yerusalemu lilikuwa na matawi 5 na ndani ya hayo matawi kulikuwepo na jamii kubwa ya wagonjwa na hao wagonjwa wamegawanyika katika matatizo yao, VIPOFU, VIWETE, WALIO POOZA, ni watu wenye safari ya kiimani. Imani lazima ingojewe mtu mwenye imani anasubira. Mwenye imani hatafuti muujiza anatafuta neno likolee. Ufunuo 22:17 na Roho na Bibi harusi na aseme njoo. YOHANA 7:37 BIRIKA LINA MATAWI 5 zaburi 40:1:5 atakuponya na mambo mabaya yote. 1.       Kuponya wenye shinda 2. ...

Jesus Only Jesus

He did not look at the answer of the paralyzed he said stand up and walk. He understood the faith in that man, the problem was who will Immerse him into the pool. And there he was he instructed him to walk. Because he was there and the man had faith if the get into the pool is healed which was the logic.Jesus took the anxiety out of the man by Instructing upon a task of taking a step of waking up and walking.this was soooo great.wow!!

Tamani nafasi ya kwanza, muweke Mungu wa kwanza.

Image

Being before the lord is joy:

Image
Being before the lord is joy: Efatha Members rejoices, happy before the lord...its amazing very amazing..be one of them who are entitled to the Kingdom of God

This one now explains that he has been there for 38 years.

And we see Jesus asking him what do you want to be done to you now.SEE "this i want somebody to take me into the pool because for when i begun to go, others deep before me".And Mighty Jesus emphasis to him stand up take your beddings and walk.amazing faith that is.and he does exactly as he is told by Jesus. and he is healed.

Kuwa na Subira; always be patient...e.g.

My Help and My Deliverer 1 I waited patiently for the Lord; he inclined to me and heard my cry. 2 He drew me up from the pit of destruction, out of the miry bog, and set my feet upon a rock,  making my steps secure. 3 He put a new song in my mouth, a song of praise to our God. Many will see and fear, and put their trust in the Lord. 4 Blessed is the man who makes the Lord his trust, who does not turn to the proud, to those who go astray after a lie! 5 You have multiplied, O Lord my God, your wondrous deeds and your thoughts toward us; none can compare with you! I will proclaim and tell of them, yet they are more than can be told. In the book Of John why we are seeing a bowel/pool of water. And we see people waiting for it to stir up for them to deep themselves into it. This shows how they had the sense of patience of waiting for water to stir up, and the logic is that the first to enter the pool gets healed. So God requires our attention to our areas of work...

Kuhusu Imani! Ufunuo 22:17

Mtu yeyote mwenye Imani lazima awe na subira, ukiwa huna subira utakuwa mtu wa kuanza upya kila wakati. Mwenye Imani hatafuti Muujiza, anasubiri Neno la Mungu likolee Vizuri. Revelation:22:17 The Spirit and the Bride say, "Come." And let the one who hears say, "Come." And let the one who is thirsty come; let the one who desires take the water of life without price.