Ni Wana wa MUNGU wa Efatha Ministry Kenya- Nairobi City Centre Church wakiwa tayari kwa Furaha na Shangwe kwa ajili ya Kumpokea Baba yao wa Kiroho Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira. Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, akiwasili Kanisa la Efatha Ministry Kenya- Nairobi City Centre, Wana wa MUNGU wa Efatha Ministry Nairobi City Centre wakimpokea. Mtumishi wa MUNGU Mchungaji Kiongozi Efatha Ministry Tanga (Kulia) Mch. Consolata Kitundu akiwa pamoja na Mume wake, Wakisalimia Wana wa MUNGU wa Efatha Ministry Mwenge, Dar es Salaam-Tanzania, Jumapili iliyopita (12/July/2015) Ibadani, Alikuja pamoja na Waimbaji wa Mass Choir Efatha Ministry Tanga. Wabarikiwe, walihudumu vema Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira akiwa katika Nyumba ya BWANA Efatha Ministry Kenya- Nairobi City Centre Church. Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira Akiweka WAKFU Nyumba...