Baadhi ya mamia ya wana EFATHA walioudhuria Ibada ya kwanza Efatha MInistry, Mwenge Dar es Salaam-Tanzania. Nawe ungana na wana wa MUNGU Ukusanyike pamoja na Waabuduo, Kumwabudu MUNGU wetu MKUU USHUHUDA: "BWANA wetu YESU KRISTO YU HAI" APATA SIKU ZAKE ZA HEDHI BAADA YA KUKAA MIAKA MINNE. Naitwa Magdalena, Napenda Kumshukuru MUNGU ilikuwa ni siku ya Jumamosi siku ya Uji hapa Kanisani, Mimi nilichaguliwa kwenda Kupika uji, baada ya kupika Uji na kunywa Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii akatoa Unabii akasema, Yeyote aliyekuwa na Ugonjwa unaishia Getini, na Akasema kuwa kuna mtu ambaye Hazioni siku zake yapata miaka minne sasa anakwenda kuziona, Mimi nililichukua lile neno kwani lilikuwa la kwangu. Siku ya tarehe 17 nilipofika Nyumbani Usiku nilishangaa sana Niliziona siku zangu NILIFURAHI sana, NAMTUKUZA MUNGU kwa hili. Pia nimeleta Zawadi za Shukrani kwa Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira na Mama Eliakunda Mwingira, Mchungaj...