EFATHA MINISTRY MIKOANI

Efatha Ministry Arusha pichani Wakiwa wanatimiza lile AGIZO la Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii la kuwapokea na Kukaa pamoja nao na Kula pamoja Wale ambao Wamerudi "nyumbani" Efatha Ministry.
Mchungaji Kiongozi Efatha Ministry Mkoa wa Arusha Mch. Tumpe Rabarn aliaandaa hiyo sherehe Mount Meru Hotel Arusha.



Comments