Posts

Showing posts from September, 2014

WORDS OF WISDOM

Image
The WORD is LIGHT and we are LIGHT of this world. I am LIGHT and LIGHT is the Word and the WORD is GOD; so I AN GOD IN THE WORLD. You need to understand these and understand that it is by this understanding that Adam declared anything and it came to be, for he had the authority of GOD in him.:Apostle & Prophet Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.

KUSANYIKO KUSANYIKO KUSANYIKO 2014

Image
KUSANYIKO KUSANYIKO KUSANYIKO 2014... Mwana wa MUNGU Usikose, KIBALI Ni chako hiki.

EEE YESU WA NAZARETHI

Image
YESU ni Upendo, YESU ni BWANA wa MABWANA, YESU ni Furaha, YESU ni Amani, YESU ni Ushindi, YESU ni UTUKUFU, YESU ni Uponyaji, YESU ni Kuweka Huru, YESU Yeye ni Mambo yote.... EFATHA: Uponyaji na Ukombozi,.... Tunakupenda YESU. Ukifuata utaratibu utajua Majira na Nyakati za MUNGU, hivyo utapokea haja zako. Kama hufuati utaratibu, wakati MUNGU anataka kukutana na hitaji lako wewe umelala nyumbani... Sahau kufanikiwa.