Posts

TATIZO NI NINI? "Tatizo mnataka vile alivyonavyo Binadamu badala ya Vile Alivyonavyo MUNGU............: Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY."

I bless My Monday........... My Monday is SHINING!

Image

MUNGU Anakupenda, MUNGU Anakujali sana, YESU Anakupenda, YESU Anakujali sana, ROHO MTAKATIFU Anakupenda, ROHO MTAKATIFU Anakujali sana................ Huu ni MWAKA WAKO WA MNG'AO, Umeamuliwa!!!

Waliokuwa na magonjwa sugu na vifungo vya adui sasa wameachiliwa huru katika Jina la Yesu Kristo! Amen!!

Image

Chaille Mcneese kutokea Marekani akiwa amesimama baada ya kupokea uponyaji wake Mungu wa Efatha ni muweza wa Yote Amina!!

Image

Breaking News

Image

Haleluuyaah! Mungu wetu anazidi kutenda miujiza watu wanapokea uponyaji wao waliokuwa hawawezi kutembea sasa wanaanza kuinuka. Asante Mungu wetu, Asante Yesu Kristo, Asante Roho Mtakatifu kwa uaminifu wako na upendo wako kwetu. Anza kushukuru Mwana wa Mungu popote ulipo sasa kwa matendo makuu ya BWANA wetu Yesu Kristo. Amini ushapokea uponyaji wako sasa.

Image