LANGUAGE
Your language can change the
atmosphere within your marriage, the way you speak with your husband or wife
can cause God to deny what you are asking for; but once you are one in your
language, it will cause you to win in all spheres.
The language you use, opens the
door for God or satan to deal with you. The way you live since January to
December can open or close your door of victory; so each day, be keen on how
you speak and act; you should have a few words so that you may overcome the
devil.
Swahili Translation:
SOMO: LUGHA
Lugha inaweza kubadilisha hali ya
hewa katika ndoa yako, jinsi unavyoongea na mume wako au mke wako inaweza
kusababisha Mungu akawanyima mnachoomba, lakini lugha zenu zikiwa pamoja
mtashinda katika yote.
Lugha unayotumia inafungua mlango
wa Mungu kushughulika na wewe au shetani. Namna unavyoishi Januari mpaka
Desemba inafungua au kufunga mlango wa kushinda kwako, hivyo kila siku uwe
makini sana namna unavyoongea na kutenda, uwe na maneno machache ili uweze
kumshinda shetani.
Comments
Post a Comment