THE GIFT OF FAITH
The gift of faith makes the impossible possible (1 Corinthians 12: 9a). For example; Sarah was barren but because of Abraham's faith she was able to get a child in her old age.
The Spirit of Knowledge and Faith works together. These Spirits are
important to you because they allow you to complete things on time. The Spirit
of Knowledge gives you something to do and Faith shows that it is possible.
Faith helps you to do things faster and easier. A work to be done for several
days, you can do it within a short period of time. Through faith you can
control the possessions of your enemies and subdue the princes of darkness and have
them submit to your command.
Faith will help you eliminate your enemies and face opposition with
Victory. Opposition may be the environment including climate, humanity,
systems and economic conditions that are dangerous to your future. That victory
is obtained through reading and keeping the Word of God abundantly in you so
that you may have Faith to receive what God has promised you. Without Faith it
is difficult to overcome.
The Spirit of Faith removes you from danger and gives you security. If your
life is meaningless and shameful, this Spirit will build your faith so that you
can do extraordinary things to come out of your shame. Even if you speak
unintelligible words, He will make you understandable to your listeners for you
to make more friends.
Swahili Translation:
KIPAWA CHA IMANI.
Kipawa cha Imani husababisha
kisichowezekana kiwezekane. (1Wakorintho 12:9a). Kwa mfano; Sara alikuwa tasa
lakini kwa sababu ya Imani ya Ibrahimu aliweza kuzaa katika umri wa uzee.
Roho ya Maarifa na Imani hufanya
kazi pamoja. Roho hizi ni muhimu kwako kwa sababu hukuwezesha kukamilisha mambo
kwa wakati. Roho ya Maarifa hukupa jambo la kufanya na Imani huonesha kuwa
jambo hilo linawezekana. Imani husaidia kufanya kazi kwa wepesi na kwa haraka.
Kazi ya kufanya kwa siku kadhaa unaweza kuifanya kwa muda mfupi. Kupitia imani
unaweza kutawala milki ya adui zako na kutiisha wakuu wa giza na wakasalimu
amri.
Imani itakusaidia kuwamaliza adui
zako na kukabiliana na upinzani kwa Ushindi. Upinzani huweza kuwa mazingira
ikiwemo hali ya hewa, wanadamu, mifumo na hali ya uchumi ambavyo ni hatari kwa
ubaadae wako. Ushindi huo hupatikana kwa kusoma na kutunza Neno la Mungu kwa
wingi ndani yako ili upate Imani ya kupokea ulivyoahidiwa na Mungu. Pasipo
Imani ni vigumu kushinda.
Roho wa Imani hukuondoa katika
hali hatarishi na kukupa usalama. Maisha yako yakikosa maana na ni ya aibu,
Roho huyo atakujengea Imani uweze kufanya mambo yasiyo yakawaida utoke katika
hali ya aibu. Hata kama utazungumza maneno yasiyoeleweka, atasababisha ueleweke
kwa wanaokusikiliza ili kupata marafiki wengi.
Comments
Post a Comment