SNARES OF DEARTH AND PAINS OF HELL.


The snares of dearth and pains of hell brings death in marriage, work, business, generation etc. Sometimes you may overcome troubles of the world but the Word says that there are snares of dearth and pains of hell. How will you know? You will find that everything you do does not go well and that diseases are over you. The snares of death kill everything you do, and the pains of hell are situations that causes you to go through the hardships your parents went through.

Example: If your parents could not go to school, you also find it difficult going to school and if they were poor, you also find yourself in that stream, understand that those are pains of hell following you.
A girl can be married but over time the marriage end; if you look at it you will find that her sisters or her parents also divorced for no apparent reason.

In order to overcome this power you need the Spirit of Understanding because He knows where you were imprisoned and oppressed. You may be speaking in tongues but still have the pains of hell. If you see this happening, call on the Lord Jesus, for He said, Call Me and He will come and help us.

Psalms 116:1-5 “I love the Lord, because He has heard My voice and my supplications. Because He has inclined His ear to me, Therefore I will call upon Him as long as I live. The [a]pains of death surrounded me, And the [b]pangs of Sheol [c]laid hold of me; I found trouble and sorrow. Then I called upon the name of the Lord: “O Lord, I implore You, deliver my soul!” Gracious is the Lord, and righteous; Yes, our God is merciful.”

Swahili Translation:

KAMBA ZA MAUTI NA SHIDA ZA KUZIMU.

Kamba za mauti na shida za kuzimu zinaleta mauti au kifo katika ndoa, kazi, biashara, uzao na kadhalika. Wakati mwingine unaweza kuzishinda taabu za dunia, lakini neno linasema kuwa, kamba za mauti na shida za kuzimu zipo. Utajua je? Utaona kila kitu unachofanya hakiendi na magonjwa yamekuandama. Kamba za mauti zinaua kila unachokifanya, na shida za kuzimu ni hali inayosababisha upitie magumu waliyopitia wazazi wako.

Mfano: Kama wazazi wako walishindwa kusoma na wewe unajikuta unasoma kwa shida na kama walikuwa maskini na wewe unajikuta kwenye mkondo huo, elewa kuwa hizo ni shida za kuzimu zinakufuata. Inawezekana binti ameolewa lakini baada ya muda ndoa inavunjika; ukichunguza utabaini dada zake au wazazi wake nao waliachika bila sababu ya msingi.

Ili uweze kushinda nguvu hii unahitaji Roho wa Ufahamu maana ana fahamu wapi ulifungiwa, ulipokandamizwa na kuonewa. Unaweza ukawa unanena kwa lugha mpya lakini bado ukawa unazo shida za kuzimu. Ukiona hali hii inatokea mwite Bwana Yesu, maana alisema tumwite atakuja kutusaidia.

Zaburi 116:1-5 “Haleluya. Nampenda Bwana kwa kuwa anaisikiliza Sauti yangu na dua zangu. Kwa maana amenitegea sikio lake, Kwa hiyo nitamwita siku zangu zote. Kamba za mauti zilinizunguka, Shida za kuzimu zilinipata. Naliona taabu na huzuni; Nikaliitia jina la Bwana. Ee Bwana, nakuomba sana, Uniokoe nafsi yangu. Bwana ni mwenye neema na haki, Naam, Mungu wetu ni mwenye rehema.”

By Servant of God Apostle and Prophet Josephat Elias Mwingira, Efatha Church.  

Comments