KEEPING THE ANOINTING

 


In order to keep the anointing and the Glory of the ends of the earth you must consider the following;

  1. Abide in the house of the Lord; always desire to abide before the Lord.
  2. Be early in the house of the Lord, your WORSHIP with God should not be of influenced.
  3. Attend bible classes, be someone who is teachable.
  4. Attend and be early to prayers, be prayerful according to what the Word says

Then you will see the fruit of the Spirit at work because you have reached the level of living by the spirit and not by the law. It's a time when you see the shadow of God covering you.

Psalm 91:1 “He who dwells in the secret place of the Most High Shall abide under the shadow of the Almighty.”

The secret is to stay in the house of the Lord, where the interpreter reveals the secret of the Lord and if you listen to him the shadow over him covers you and become safe.

Psalm 91:7- 8 “A thousand may fall at your side, And ten thousand at your right hand; But it shall not come near you. Only with your eyes shall you look, And see the reward of the wicked.”

Swahili Translation:

Ili uweze kutunza upako na Utukufu wa miisho ya dunia ni lazima uzingatie haya yafuatayo.-

  1. Kukaa nyumbani mwa Bwana; Kila wakati tamani kukaa mbele za Bwana.
  2. Kuwahi ibadani; IBADA YAKO NA Mungu isiwe ya kusukumwa.
  3.  Hudhuria mafundisho; Uwe mtu anayefundishika
  4. Hudhuria na wahi katika maombi; Uwe mwombaji sawasawa na Neno linavyosema.

Ndipo utaona tunda la Roho likitenda kazi kwa sababu umefikia kiwango cha kuishi kwa roho wala sio kwa sheria. Ni majira ambayo unaona uvuli wa Mungu ukikufunika.

Zaburi 91:1” Aketiye mahali pa siri pake Aliye juu Atakaa katika uvuli wake Mwenyezi”

Siri iko katika kukaa nyumbani mwa Bwana, ambapo mkalimani anapofunua siri ya Bwana ukimsikiliza ule uvuli juu yake unakufunika na wewe ndipo unakuwa salama.

Zaburi 91:7- 8 “Ijapo watu elfu waanguka ubavuni pako. Naam, kumi elfu mkono wako wa kuume! Hata hivyo hautakukaribia wewe. Ila kwa macho yako utatazama, Na kuyaona malipo ya wasio haki”.

By Servant of God Apostle and Prophet Josephat Elias Mwingira, Efatha Church.  

Comments