KNOW HOW TO KEEP YOUR ANOINTING

 


With the Power of God it helps you to do Great Things in a short period of time that others have done for years. When you want to get the highest level of anointing you have you must look at how you started your foundation. If you see your foundation is faltering go back to Jerusalem and start again to stimulate your understanding of the Word, and then you will see that speed coming again.

Do like Samson when he saw that the anointing had melted away and they pierced his eyes, he went back and start afresh and got a chance to revenge. Returning to Jerusalem is a state of wanting to know what salvation is, praying and meditating on the Word of the Lord. If you still see things not going well then look at your relationship with your leader.

Jeremiah 31:21 “Set up signposts, Make landmarks; Set your heart toward the highway, The way in which you went. [a]Turn back, O virgin of Israel, Turn back to these your cities.”

You need to know how to take care of the Anointing you have in you, so that you can be different from others.

Swahili Translation:

Ukiwa na Nguvu ya Mungu inakusaidia kufanya Mambo Makubwa kwa muda mfupi ambayo wengine wamefanya kwa miaka kadhaa. Unapotaka kupata kiwango cha juu zaidi cha upako ulio nao ni lazima uangalie ulianzaje msingi wako. Kama unaona msingi wako unalegalega rudi tena Yerusalemu na anza upya kuchochea ufahamu wako wa Neno, ndipo utaona ile kasi inarudi tena.

Fanya kama Samsoni alipoona upako umeyeyuka na wamemtoboa macho alirudi tena akaanza upya ndipo akapata nafasi ya kulipa kisasi. Kurudi Yerusalemu ni hali ya kutaka kujua wokovu ni nini, kuomba na kutafakari Neno la Bwana. Ukiona bado mambo hayaendi basi angalia mahusiano yako na kiongozi wako yakoje?

Yeremia 31:21 “Jiwekee alama za njia; jifanyie miti ya kukuongoza; uuelekeze moyo wako kwenye njia kuu, njia ile ile uliyoiendea; rudi tena, Ee bikira wa Israeli, irudie hii miji yako."

Unahitaji kujua namna ya kutunza Upako ulio nao ndani yako, ili uweze kuwa tofauti na wengine.

By Servant of God Apostle and Prophet Josephat Elias Mwingira, Efatha Church.

Comments