SUCCESS NEEDS DILIGENCE

 

Proverb 22:29 “Do you see a man who [a]excels in his work? He will stand before kings; He will not stand before [b]unknown men.”

If you want to reach the level of success in your work or business, put God first in all your work and make sure you are diligent, observe time, learn from those who are above you because if you do not have a learning heart, you will find yourself remaining where you are. Make sure you have the heart to learn so that you can reach the highest level.

God always uses people who are willing to strive, God never uses those who do not strive. Keep searching for more knowledge without anyone telling you that you can't. Keep moving forward, relying on God because God has wonderful plans for you so don't give up.

May GOD RAISE YOU up and continue to AMAZE you in what you do.

Swahili Translation:

Mithali 22:29 " Je! Wamwona mtu MWENYE BIDII KATIKA KAZI ZAKE? Huyo atasimama mbele ya WAFALME; Hatasimama mbele ya watu wasio na cheo."

Kama unataka kufika daraja la kufanikiwa katika kazi au biashara yako mtangulize Mungu katika kazi zako zote na hakikisha unakuwa na bidii, jali muda, jifunze kwa wale ambao wamekutangulia kwa sababu kama huna moyo wa kujifunza utajikuta unabaki hapo hapo, hakikisha una moyo wa kujifunza ili uweze kufikia kiwango cha juu.

Siku zote Mungu anatumia watu ambo wako tayari kujitahidi, kamwe Mungu hawatumii wasio jitahidi, endelea kutafuta maarifa zaidi asiwepo mtu wa kukwambia kuwa hauwezi, zidi kusonga mbele huku ukimtegemea Mungu kwa sababu Mungu anamipango mizuri sana kwa ajili yako usikate tamaa.

Mungu AKUINUE na azidi KUKUSHANGAZA katika kile unacho kifanya.

#AkilikichwaniYesuMoyoniPesaMfukoni.

© Mchungaji Aimana Dominick, Efatha Church Mwenge.

Comments