DECIDE TO DO RIGHT




Man was given possession of everything that moves, swims, crawls, and flies in the sky. Yet he has failed to manifest that in his life and the biggest problem is doing things before thinking. Only after he makes a mistake can he realize that he has made a mistake.

Improper actions without considering the consequences can cause pain. If you ask the reason for their actions, they answer that they are human beings who can make mistakes even if it is a bad thing. Regardless of the type of offense or wrongdoing that he or she has committed, he or she should be able to discern that evil is simply evil, and he or she should not defend oneself but decide not to do wrong again. He or she should decide in the heart and say ‘I will never do it again’

ANNOUNCEMENT:

In the name of Jesus Christ I declare victory over your enemies. Let the evil deeds set you free now and never torment you no more, Amen!

Swahili Translation:

Mwanadamu alipewa kumiliki kila kitu kinachotembea, kuogelea, kutambaa na kuruka angani. Hata hivyo ameshindwa kudhihirisha hilo katika maisha yake na tatizo kubwa ni kufanya mambo kabla ya kufikiri. Baada ya makosa ndipo hutambua kuwa amekosea.

Matendo yasiyofaa bila kufikiria matokeo yake, husababisha maumivu. Ukiuliza sababu ya matendo yao, hujibu kuwa wao ni wanadamu wanaweza kukosea hata kama ni jambo baya. Bila kujali aina ya kosa au uovu uliotenda, anapaswa kuelewa uovu ni uovu tu, wala asijitetee bali aamue kutorudia kufanya mambo yasiyofaa. Aazimie moyoni na kusema 'sitakosea tena'!

TANGAZO:

Kwa jina la Yesu Kristo nakutangazia ushindi dhidi ya adui zako. Matendo ya uovu yakuachie sasa yasikutese tena na iwe amina!

By Servant of God Apostle and Prophet Josephat Elias Mwingira, Efatha Church.

Comments