YOU ARE BLESSED




Genesis 1:28God blessed them, and God said to them, “Be fruitful and multiply, and fill the earth and subdue it; and have dominion over the fish of the sea and over the birds of the air and over every living thing that moves upon the earth.”

God loved a man from the beginning, and His first promise to a man was the blessing.

When you are poor while you are saved, it is an indication that you are closer to the devil than God who blesses. The word says “Be blessed and not be poor” and again “have dominion over every living thing”, it means you have control over everything.

To God there is no poor, what troubles most saints is their failure to recognize the privileges they have been given in the Kingdom of God. There are people who have been saved for many years but their lives are scarce even the devil wonders, while in God there is plenty. Find out who you are with your Heavenly Father so you can own what He has purposed for you here on earth.

With God there is EVERLASTING RICHES and not temporary, if you see poverty dominating you realize that there is a problem with you not walking in holiness and not God’s problem.

Swahili Translation:

Mwanzo 1:28 Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi.”

Mungu alimpenda mwanadamu tangu hapo Mwanzo, na ahadi yake ya kwanza kwa huyo mwanadamu ilikuwa ni Baraka.

Unapokuwa maskini ilihali umeokoka, hiyo ni dalili ya kwamba upo karibu na ibilisi kuliko Mungu anaye Bariki. Neno linasema, “Ukabarikiwe na siyo ukawe fukara” na tena "ukatawale kila kiumbe chenye uhai", inamaana kuwa utawale kila kitu.

Kwa Mungu hakuna masikini, kinachotesa watakatifu wengi ni kuto kutambua nafasi walizopewa katika Ufalme wa Mungu. Kuna watu wameokoka miaka mingi lakini maisha yao ni duni mpaka shetani anawashangaa, wakati kwa Mungu kuna utele, jitambue wewe ni nani kwa BABA yako wa Mbinguni ili upate kumiliki vile alivyo kukusudia hapa duniani.

Kwa Mungu kuna UTAJIRI UDUMUO na si wa muda mfupi; ukiona umasikini unakutawala tambua kuwa tatizo lipo kwako la kuto kutembea katika UTAKATIFU na siyo kwa Mungu.

©Servant of God Apostle and Prophet Josephat Elias Mwingira, Efatha Church.


Comments