USE TIME WELL




Time management is what distinguishes the successful and unsuccessful people because God goes by season and time. The children of God are required to redeem time in order to attain lasting prosperity.
Godly wisdom enables a person to use time well to create better things for his future and eliminate foolishness and traps that bring regret and pain; then his days shall be many and excellent.

The Bible emphasizes this by saying walk as wise men, redeeming time because there is no extra time.

Ephesians 5:15-16 “Be careful then how you live, not as unwise people but as wise, 16 making the most of the time, because the days are evil.”

If a man is able to use his time well he has decided to follow God.

Foolishness hinders prosperity because it offends God and he becomes your first enemy, but with the help of Divine Wisdom, man is guided to be careful how to plan and do his things to please God in order to always bring good results.

Swahili Translation:

TUMIA MUDA VIZURI.

Matumizi ya muda ndiyo yanayotofautisha kati ya waliofanikiwa na wasiofanikiwa, kwa sababu Mungu anakwenda kwa majira na nyakati. Wana wa Mungu wanatakiwa kukomboa wakati ili wapate ustawi udumuo.

Hekima ya Mungu humwezesha mtu kutumia muda vizuri ili kujenga mambo mazuri kwa ubaadae wake na kuondokana na upumbavu na mitego inayoleta majuto na maumivu; ndipo siku zake zinakuwa nyingi na bora.

Biblia inasisitiza jambo hili kwa kusema enendeni kama watu wenye hekima, mkiukomboa muda kwa sababu hauongezeki.

Waefeso 5:15 -16 " Basi angalieni sana jinsi mnavyoenenda; si kama watu wasio na hekima bali kama watu wenye hekima; mkiukomboa wakati kwa maana zamani hizi ni za uovu".

Mtu akiweza kutumia muda vizuri huyo ameamua kumfuata Mungu.

Upumbavu hukwaza ustawi kwani unamkasirisha Mungu na anakuwa adui yako wa kwanza, lakini kwa msaada wa Hekima ya Mungu, mtu anaongozwa kuwa muangalifu jinsi ya kupanga na kufanya mambo yake ampendeze Mungu ili apate matokeo mazuri daima.

©Servant of God Apostle and Prophet Josephat Elias Mwingira, Efatha Church.


Comments