PUT YOUR EYES UPON GOD



Don’t look at your problem but look at Him who created you because He has the answer to your questions. May be you are suffering from a certain disease and doctors have failed, and you look at that disease thinking that it is bigger than anything, no! There is nothing bigger than our father our heavenly Father, look at Him because He has your healing.

Psalm 123:1-3 “To you I lift up my eyes, O you who are enthroned in the heavens! As the eyes of servants look to the hand of their master, as the eyes of a maid to the hand of her mistress, so our eyes look to the Lord our God, until he has mercy upon us Have mercy upon us, O Lord, have mercy upon us, for we have had more than enough of contempt.”

Let’s continue to lift our eyes to the Lord who is the source of our life, in day and night we will look at Him. Lift your eyes to the Lord until when you receive His mercies; don’t look at your problem or what you are going through but look unto God because in Him there is life in abundance, joy, peace and victory.  

Swahili translation:

Usiangalie tatizo ulilonalo bali mwangalie yule aliye kuumba kwani YEYE anamajibu ya maswali yako, inawezekana ukawa na ugonjwa unaokutesa na Madaktari wameshindwa hivyo na wewe ukautazama huo ugonjwa kwamba ni mkubwa kuliko chochote kile, la! Hakuna kilicho kikubwa Zaidi ya Baba yetu wa Mbinguni mtazame YEYE kwani anao UPONYAJI kwa ajili yako.

Zaburi 123:1-3Nimekuinulia macho yangu, Wewe uketiye mbinguni. Kama vile macho ya watumishi Kwa mkono wa bwana zao Kama macho ya mjakazi Kwa mkono wa bibi yake; Hivyo macho yetu humwelekea Bwana, Mungu wetu, Hata atakapoturehemu. Uturehemu, Ee Bwana, uturehemu sisi, Kwa maana tumeshiba dharau.”

Tutaendelea kumwinulia Bwana macho yetu YEYE aliye asili ya maisha yetu iwe usiku au mchana tutamuangalia YEYE.Mwinulie Bwana macho yako mpaka atakapo kurehemu usiangalie shida yako inayo kusumbua au yale unayopitia bali muangalie MUNGU maana kwake kuna Uzima tele, Furaha, Amani na Ushindi.

©Servant of God Mama Eliakunda Mwingira, Efatha Church.

Comments