GOD IS BIGGER THAN YOUR CHALLENGE





Make God to be everything in your life and don't give challenges a chance because the God you have is bigger than those challenges.

Sometimes challenges become too much for you and you don't even know what to do, it gets to the point where you are discouraged because you can't see the way out; My child, do not look at those challenges which will disappear as there are no lasting challenges but only temporary ones, IT IS ONLY GOD WHO LAST FOREVER look at Him and allow Him to be with you all the time and put your hope in Him and surely He will bring you safely.

Psalm 121:1-3 “I lift up my eyes to the hills— from where will my help come? My help comes from the Lord, who made heaven and earth. He will not let your foot be moved; he who keeps you will not slumber.”

Swahili Translation:

Mfanye Mungu awe kila kitu katika maisha yako wala usizipe nafasi changamoto maana Mungu uliyenaye ni mkubwa kuliko hizo changamoto.

Wakati mwingine changamoto zinakuwa nyingi kwako na haujui hata ufanye nini, inafika mahali unakata tamaa kwa maana hauoni njia ya kutoka; Mwanangu usizitazame hizo changamoto zitatoweka kwani hakuna changamoto zinazodumu milele bali ni za kitambo tu, NI MUNGU PEKEE NDIYE ANAYEDUMU MILELE muangalie YEYE, mruhusu awe na wewe wakati wote na Tumaini lako uliweke kwake hakika atakuvusha salama.

Zaburi 121:1-3 “Nitayainua macho yangu niitazame milima, Msaada wangu utatoka wapi? Msaada wangu u katika Bwana, Aliyezifanya mbingu na nchi. Asiuache mguu wako usogezwe; Asisinzie akulindaye;”

By Servant of God Apostle and Prophet Josephat Elias Mwingira, Efatha Church.


Comments

Popular posts from this blog

Mithali 8:17-21 "Nawapenda wale wanipendao, na wale wanitafutao kwa bidii wataniona. Utajiri na heshima ziko kwangu, Naam, utajiri udumuo, na haki pia. Matunda yangu hupita dhahabu, naam, dhahabu safi, na faida yangu hupita fedha iliyo teule. Natembea katika njia ya haki, katikati ya mapito ya hukumu. Niwarithishe mali wale wanipendao, tena nipate kuzijaza hazina zao." Proverbs 8: 17-21 "I love them that love me; and those that seek me early shall find me. Riches and honour are with me; yea, durable riches and righteousness. My fruit is better than gold, yea, than fine gold; and my revenue than choice silver. I lead in the way of righteousness, in the midst of the paths of judgment: That I may cause those that love me to inherit substance; and I will fill their treasures."