AN EXCELLENT LEADER




As a leader, there are so many angels surrounding you, looking at you. Why looking at you? They want to be happy with you, but if you act foolishly they are there to punish you.

You as a leader to whom God has given you the responsibility of leading His people make sure you do what is right, don’t wait to be pushed of praised. I have never seen in the Bible God using a man who waits to be praised, He would rather use a wicked one than one who thinks himself to be better than others.

Leader, don't wait for people to praise you for you to do the work of God, if you have that behaviour get angry with yourself and decide to take steps to change the situation in your leadership.

Correct yourself so you can do what is right and God may be pleased with you.


Swahili Translation:

KIONGOZI BORA.

Wewe kama Kiongozi, wako Malaika wengi wamekuzunguka wakikutazama, kwa nini wanakutazama? Wanataka kukufurahia lakini ukitenda kwa upumbavu wapo ili kukuadhibu.

Wewe kama Kiongozi ambaye Mungu amekupa dhamana ya kuongoza watu wake hakikisha unatenda vyema usisubiri kusukumwa wala kusifiwa, sijawahi kuona kwenye Biblia Mungu akimtumia mtu anayesubiri kusifiwa, ni afadhali amtumie mwovu kuliko mtu anayejiona kuwa yeye ni bora kuliko wengine.

Kiongozi usisubiri watu wakusifie ndipo uifanye kazi ya Mungu, kama unatabia hiyo hebu jikasirikie mwenyewe na uamue kuchukua hatua za kubadilika ili uweze kusababisha jambo katika Uongozi wako.

Jirekebishe wewe mwenyewe ili uweze kufanya yaliyo mema na Mungu apate kukufurahia.

©Servant of God Apostle and Prophet Josephat Elias Mwingira, Efatha Church.



Comments

Popular posts from this blog

Mithali 8:17-21 "Nawapenda wale wanipendao, na wale wanitafutao kwa bidii wataniona. Utajiri na heshima ziko kwangu, Naam, utajiri udumuo, na haki pia. Matunda yangu hupita dhahabu, naam, dhahabu safi, na faida yangu hupita fedha iliyo teule. Natembea katika njia ya haki, katikati ya mapito ya hukumu. Niwarithishe mali wale wanipendao, tena nipate kuzijaza hazina zao." Proverbs 8: 17-21 "I love them that love me; and those that seek me early shall find me. Riches and honour are with me; yea, durable riches and righteousness. My fruit is better than gold, yea, than fine gold; and my revenue than choice silver. I lead in the way of righteousness, in the midst of the paths of judgment: That I may cause those that love me to inherit substance; and I will fill their treasures."