FOLLOWERS




What kind of people are the followers?

Followers are those who go to God for their own needs to be fulfilled and not what God has for them. Example: You may find a person asking God to give her a husband who will make her happy, but the person God has for you is not for you to be happy but is for Him to be happy when He sees you with that person. When you go before God wanting your own will to be done, God will give you who you want for you to be happy but that person will not please God and so God will be angry with you.

Don’t think that what you love is always what God loves, sometimes what you love my cause God to be mad with you.

Followers always have their own expectations for themselves and such kind of people can have faith but they are not for Jesus.

My child, desire the will of God to be fulfilled in your life because God has the best things for you. When you get what God has for you, you will be able to answer all your questions and even get what you expect.

Swahili Translation:

WAFUASI

Wafuasi ni watu wa aina gani?

Ni wale wanaokwenda kwa MUNGU kwa sababu ya mahitaji yao binafsi ili yapate kutimizwa na siyo kutaka kile ambacho MUNGU anacho kwa ajili yao.
Mfano: Unakuta mtu anakwenda kwa Mungu na kumuomba ampe mume atakayemfanya yeye afurahi, lakini Mungu aliyenaye kwa ajili yako si wa kukufanya wewe ufurahi bali ni wa kumfanya Mungu afurafi akiwa na wewe; lakini utakapokwenda mbele zake kwa kutaka mapenzi yako yatimie Mungu atakupa yule ambaye unamuhitaji atakayekufanya ufurahi lakini hatamfurahisha Mungu hivyo Mungu atakukasirikia wewe.

Mara zote kile unachokipenda wewe usifikiri kuwa Mungu anakipenda, wakati mwingine kinaweza kumsababisha Mungu akuchukie.

Wafuasi mara zote wana matarajio yao kwa ajili yao binafsi na watu wa namna hiyo wanaweza kufikia kuwa na imani lakini hawapo kwa ajili ya Yesu.

Mwanangu tamani Mapenzi ya Mungu yatimie kwako, kwa sababu Mungu anacho kila kitu kilicho Bora kwa ajili yako, ukikitaka hicho na ukakipata kitakusaida kujibu maswali yako yote na Zaidi hata vile ulivyotarajia.

©Servant of God Presiding Apostle Josephat Elias Mwingira, Efatha Church.


Comments