BLESSING



What is blessing?

Blessing means the fear of God.

Psalm 128:1- 4Happy is everyone who fears the Lord, who walks in his ways. You shall eat the fruit of the labor of your hands; you shall be happy, and it shall go well with you. Your wife will be like a fruitful vine within your house; your children will be like olive shoots around your table. Thus shall the man be blessed who fears the Lord.”

You are blessed when you have the fear of the Lord. The fear of the Lord is the beginning of your blessing, therefore when you have the fear of God you please Him and you are in His love.

When you tell people that you are blessed, it means you have the fear of God. How will we know that you have the fear of God? We will look at the way you live, how are your wife and children’s behaviour and your general environment, do they please God?

The blessing has its move. How is a person who has started the move in blessing? The bible says, “You shall eat the fruit of the labor of your hands; you shall be happy, and it shall go well with you”. Any where he/she will go will be happy and it will go well with that person.

When you are blessed you don’t need to fight for yourself because there is someone who fights for you. My child, that is how it will be to you. May God fight your battles for you to overcome your enemy.

Swahili Translation:

Baraka ni nini?

NI KUMCHA MUNGU.

Zaburi 128:1-4 “Heri kila mtu AMCHAYE BWANA, Aendaye katika njia yake. Taabu ya mikono yako hakika utaila; Utakuwa heri, na kwako kwema. Mkeo atakuwa kama mzabibu uzaao, Vyumbani mwa nyumba yako. Wanao kama miche ya mizeituni Wakiizunguka meza yako. Tazama, ATABARIKIWA hivyo, yule AMCHAYE BWANA.”

UKIMCHA YEYE basi unayo HERI, KUMCHA BWANA ndiyo chanzo cha Baraka zako hivyo UNAPOMCHA MUNGU maana yake ni kuwa unampendeza na upo katika mapenzi na YEYE.

Unapo waambia watu mimi NIMEBARIKIWA maana yake ni kuwa UNAMCHA MUNGU, tutajuaje kuwa UNAMCHA MUNGU? Tutaangalia namna ya maisha yako, tabia za mkewako na watoto zipoje na mazingira yako kwa ujumla je! yanampendeza MUNGU?

Baraka ina mtembeo wake, mtu aliyeanza mtembeo wa Baraka anakuwaje? Biblia inasema “Taabu ya mikono yako hakika utaila; Utakuwa heri, na kwako kwema.” popote atakapo kwenda atakuwa heri na kwake kwema.

Ukiwa UMEBARIKIWA hauhitajhi kujipigania bali yupo anaye pigana badala yako. Mwanangu hivyo ndivyo itakavyokuwa kwako, Mungu akapigane kwa ajili yako ili upate KUMSHINDA adui yako.

©Servant of God Presiding Apostle Josephat Elias Mwingira, Efatha Church.

Comments