OVERCOME YOUR ENVIRONMENT




Environment helps us to fulfill the purpose of our creation, that is why it needs to be redeemed. God uses our environment to test and approve us so we may rise in standard.  Through our environment we can rise and become great or fall. We can also win or fail, be approved or approve ourselves. Without being tested by the environment we cannot be great on earth.

Adam and Eve failed after fighting with Lucifer. Their challenge was in the environment and not with their body, soul or their spirit.   In Genesis 3, Abraham our father in faith was tested and approved to the environment and he became a faithful person with wealth.  Jacob was blessed by God through his environment.

When we rule and own our environment also we can own people and God may send us to be like Him. Jesus was taken in the wilderness to be tested with the environment for forty days. He overcame the environment and approved Himself. Jesus apostles were also tested trough environment. Therefore, tests through environment are still in progress to date.

It is therefore important to be keen to your environment. When we overcome, it is easy to overcome our souls and our spirit.

Swahili translation:

Mazingira hutusaidia kutimiza kusudi la kuumbwa kwetu, ndio maana yanahitaji kukombolewa. Mungu hutumia mazingira yetu kutujaribu na kututhibitisha ili tuweze kupanda viwango. Kupitia mazingira yetu tunaweza kupanda na kuwa wakuu au kushuka. Tunaweza pia kushinda au kushindwa, kuhalalishwa, kutenguliwa au kujihalalisha wenyewe. Pasipo kujaribiwa na mazingira hatuwezi kuwa wakuu duniani.

Adam na Hawa walipopambana na Lusifa walishindwa. Changamoto yao ilikuwa kwenye mazingira na sio kwenye mwili, nafsi wala roho zao. Katika Mwanzo 3 Ibrahimu baba yetu wa imani alijaribiwa na kuthibitishwa kwa mazingira akawa mtu mwaminifu na mwenye mali nyingi. Yakobo alibarikiwa na Mungu kupitia mazingira yake.

Tunapoyatawala na kuyamiliki mazingira yetu pia tunaweza kumiliki watu na Mungu anaweza kututumia sisi tuwe kama Yeye. Bwana Yesu alichukuliwa na kupelekwa nyikani ili kujaribiwa na mazingira kwa siku arobaini. Alishinda mazingira hayo na kujihalalisha mwenyewe. Mitume wa Yesu nao walijaribiwa kupitia mazingira. Hivyo basi, utaratibu wa kujaribiwa kupitia mazingira unaendelea hata sasa.


Hivyo ni muhimu kuwa makini na mazingira yako, tunapoyashinda ni rahisi kushinda nafsi na mwili.

©Servant of God Presiding Apostle Josephat Elias Mwingira, Efatha Church.


Comments