LOVE




A person with love learns to love and help others, but a person without love will be angry at others and may never want to see them.

Jesus found us in a bad situation full of dirty but He loved and took us the way we are, cleansed us and finally we were able to be before other. If it wasn’t for His love, we couldn’t get out of where we were before.

Why don’t we love one another? Why do we envy one another and we don’t want others to succeed? It’s because we have no love in us. Let us ask God to give us His love so we can take care of each other.

Stick with the love of God for it to take you from one place to another and take you far. Learn to love God because when you do so, He will give love to those He has created in His image and likeness.

Swahili Translation:

Mtu mwenye Upendo anajifunza kuwapenda na kuwasaidia wengine, lakini akiwa hana Upendo anawakasirikia na hata hataki kuwaona.

Yesu alitukuta katika hali mbaya tukiwa tumejaa takataka lakini alitupenda na kutubeba hivyo tulivyo, akatusafisha na hatimaye tukafaa kuwa mbele za watu; kama si Upendo wake kwetu asingetutoa huko. 

Kwa nini wanadamu hatupendani sisi kwa sisi? Kwa nini tunaoneana wivu ambao hatutaki mtu mwingine afanikiwe? Ni kwa sababu hatuna Upendo ndani yetu. Tumuombe Mungu atupe Pendo lake ili tuweze kuchukuliana sisi kwa sisi.

Ng'ang'ania Upendo wa Mungu ili uweze kukutoa mahali fulani na kukupeleka mbali zaidi, jifunze kumpenda Mungu kwa maana ukifanya hivyo atakupa kuwapenda watu aliyowaumba kwa sura na mfano wake.

©Servant of God Presiding Apostle Josephat Elias Mwingira, Efatha Church.


Comments