HOW DO YOU SEE
Psalm 34:7-8 “The angel of
the Lord encamps around those who fear him, and delivers them.
8 O taste and see that the Lord is good; happy
are those who take refuge in him.”
You cannot enjoy the love of God
until when you see it. You may continue to hear but if you don’t see, nothing
will happen to you.
If you say those who have cars boost
themselves when you see them, while you also need a car, you will never have
one. If you want a house but you say the landlords are very disturbing then God
will never give you your own house because He knows you will also disturb
others. If you see the anointed servants of God and start accusing them that
they have pride you will never receive that anointing because God sees that you will
also have pride.
If you are married and you see
men are troubles, your marriage will never change and it will always have
trouble. Learn to see according to what you want to see happening in your life.
If you want something to happen in your life but you see different to what you
want you will never get it or if you do it will be very late, learn. Even when
there is a problem on what you need don’t speak or think different, by doing so
it will surely be unto you at the perfect time that God has intended.
What you will desire to see in
your eyes is what will happen to you but if you will see different you will
delay your own blessings.
From today change how you see
things and see according to what you want or what you expect in your life. Even
when something is hard see it as an easy thing because you want it to happen. My child, may God help you and let this word happen to you.
Swahili Translation:
Zaburi 34:7-8 “Malaika wa
Bwana hufanya kituo, Akiwazungukia wamchao na kuwaokoa. Onjeni mwone ya kuwa
Bwana yu mwema; Heri mtu yule anaye tumaini.”
Huwezi kuufurahia au kuuonja Upendo wa Mungu
mpaka uuone. Unaweza ukafululiza kusikia lakini usipoona hakuna kitu
kitakachotokea kwako.
Kama unahitaji gari lakini ukiona
watu wenye magari unasema wanaringa kamwe hutakaa upate gari, kama unataka
nyumba lakini unasema wenye nyumba wanasumbua sana basi Mungu hatakupa nyumba
yako maana anajua kuwe hata wewe utakwenda kusumbua wengine. Ukiona watumishi
wa Mungu wenye upako ukaanza kuwasema kuwa wanaringa kamwe hutakaa upewe maana
Mungu anaona akikupa utaringa pia.
Kama umeolewa na unaona wanaume
ni wasumbufu hiyo ndoa yako haitabadilika siku zote itakuwa na usumbufu.
Jifunze kuona sawa na vile ambavyo unataka kitu kitokee katika maisha yako.
Ukiwa unataka kitu kitokee katika maisha yako na wewe ukaona tofauti na vile ambavyo unataka, hautakipata au kama utakipata utachelewa sana. Jifunze, hatakama kunatatizo katika kile unacho kihitaji usinene wala kuwaza tofauti na kile unachokitaka; kwa wewe kufanya hivyo hakika kitakuwa kwako kwa muda sahihi ambao Mungu ameukusudia.
Ukiwa unataka kitu kitokee katika maisha yako na wewe ukaona tofauti na vile ambavyo unataka, hautakipata au kama utakipata utachelewa sana. Jifunze, hatakama kunatatizo katika kile unacho kihitaji usinene wala kuwaza tofauti na kile unachokitaka; kwa wewe kufanya hivyo hakika kitakuwa kwako kwa muda sahihi ambao Mungu ameukusudia.
Yale utakayo yatamani kuyaona
katika macho yako ndiyo yatakayotokea kwako lakini ukiona tofauti na
unayoyataka utajicheleweshea baraka zako.
Kuanzia leo badilisha namna ya
kuona mambo, ukaone sawa na vile ambavyo unataka au unatarajia katika maisha yako,
hatakama jambo ni gumu ukalione ni jepesi kwa sababu unataka litimie, mwanangu
Mungu akusaidie na neno hili likatimie kwako.
©Servant of God Presiding Apostle Josephat Elias Mwingira, Efatha Church.
Comments
Post a Comment