GOD’S LOVE




It is only love which draws God closer, that is why He said “I love those who loves Me”. This means that through love you can draw God closer to you because through love He has drawn us closer to Him.  

Learn to walk in love, but you can never do that if you have not considered this verse, Romans 12:1Therefore, I urge you, brothers and sisters, in view of God’s mercy, to offer your bodies as a living sacrifice, holy and pleasing to God—this is your true and proper worship.”

When you reach a point where you offer your body as a sacrifice you will not get tired of going to church, helping others or witnessing the word of God regardless of what people say about you or criticize you. The criticism will push you to keep moving forward because you have God’s love in you.

My child, may the love of God build up in you so that you may be ready to offer your body as a living sacrifice, holy for the will of God.

Swahili Translation:

Ni Pendo pekee linamuweka Mungu karibu na ndiyo sababu YEYE akasema "Nawapenda wale wanipendao,” ina maana kuwa kupitia Pendo unaweza kumvuta Mungu karibu na wewe kwa sababu kupitia hilo Pendo YEYE ametuvuta sisi kwake.

Jifunze kuenenda katika Pendo, lakini kamwe hautaweza kama mstari huu haujakufikia. Warumi 12:1 “Basi, ndugu zangu, nawasihi, kwa huruma zake Mungu, itoeni miili yenu iwe dhabihu iliyo hai, Takatifu, ya kumpendeza Mungu, ndiyo ibada yenu yenye maana.”

Ukifikia kiwango cha kuuto mwili wako kuwa DHABIHU hautahisi KUCHOKA kwenda Kanisani, KUSAIDIA wengine wala KUSHUHUDIA habari za Mungu haijalishi watu wanasema nini juu yako au wanakukosoaje ile hali ya kukosolewa kwako ndiyo inakufanya wewe uzidi KUSONGA mbele kwa sababu una Pendo la Mungu ndani yako.

Mwanangu Pendo la Mungu likaumbike kwako ili ukawe tayari kuutoa mwili wako kuwa dhabihu iliyo Hai na Takatifu kwa ajili ya mapenzi ya Mungu.

©Servant of God Presiding Apostle Josephat Elias Mwingira, Efatha Church.


Comments