OFFER YOURSELF AS A LIVING SACRIFICE TO GOD




Romans 12:1Therefore, I urge you, brothers and sisters, in view of God’s mercy, to offer your bodies as a living sacrifice, holy and pleasing to God—this is your true and proper worship.”

Our bodies are in persecution because we lost love, but Jesus came so that we may be healed.

Psalm 103:3-4who forgives all your sins and heals all your diseases, who redeems your life from the pit and crowns you with love and compassion,”

Why God forgives you? It is because He loves you and through that forgiveness there is healing.

If you are under judgement, your body will be under every kind of persecutions even death before your time, therefore God has sent His love to us so that we may be redeemed.

We lost His love after sin and became under persecution, but Jesus came to restore that love for us to be healed.

Do not say you love God if you have not given out your body to Him.  Yes you believe Him but there is no love.

The character of love is giving, if you cannot give it means you don’t have love in you.

Swahili translation:

Warumi 12:1 “Basi, ndugu zangu, nawasihi, kwa huruma zake Mungu, itoeni miili yenu iwe dhabihu iliyo hai, takatifu, ya kumpendeza Mungu, ndiyo ibada yenu yenye maana.” 

Tulipoteza Pendo na ndiyo sababu miili yetu ipo katika mateso lakini Yesu alikuja ili tupate kuponyeka.

Zaburi 103:3-4 “Akusamehe maovu yako yote, Akuponya magonjwa yako yote, Aukomboa uhai wako na kaburi, Akutia taji ya fadhili na rehema,” 

Kwa nini Mungu anakusamehe? Ni kwa sababu ANAKUPENDA na kupitia huo Msamaha kuna Uponyaji.

Kama upo chini ya hukumu mwili wako unakuwa katika mateso ya kila namna na hata kufa kabla ya wakati wako hivyo Mungu amelituma PENDO lake kwetu ili tupate KUHUISHWA.

Baada ya dhambi tulipoteza Pendo na kwa sababu hiyo tukawa chini ya mateso lakini Yesu alikuja ili kuturudishia lile PENDO tulilo lipoteza ili tupate kuponyeka.

Usiseme unampenda Mungu kama haujautoa mwili wako kwake, ndiyo unamwamini lakini bado Pendo halipo.

Sifa ya PENDO ni KUTOA, kama hauwezi KUTOA inamaana kuwa hauna PENDO ndani yako.

©Servant of God Presiding Apostle Josephat Elias Mwingira, Efatha Church.

Comments