KUSANYIKO KUSANYIKO KUSANYIKO.
KUSANYIKO KUU TAKATIFU LA MWAKA 2019 limewadia......
Mwaka wa USHINDI, Mwaka wa MAREJESHO: Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira pamoja na Wapakwa Mafuta Watumishi mbalimbali wa MUNGU watakuwepo kwa ajili yako kukuhudumia Wewe Mwana wa MUNGU na Wooote wenye Mapenzi Mema.
Njoo uzidi kupokea PENDO LA MUNGU, Njoo upokee VIPAWA.
Na woooote wenye kuteswa na kuonewa, huna Amani, huna Furaha. Kazi, Biashara zako, Ndoa yako haiko vizuri, Watoto, Wazazi, Ndugu, Familia, Rafiki, woooote...... Mje MPOKEE UPONYAJI, Njoo UTANGAZE UPONYAJI WAKO.
Tarehe ni kuanzia tarehe 6 Oktoba (Jumapili jioni) hadi 13 Oktoba 2019.
Mahali: Kibaha Precious Centre Mji wa BWANA, Mkoa wa Pwani.
USIKOSE, YESU anakupenda, YESU anakujali.
#SHARE IT, #MJULISHE MWENZIO.

Comments