GOD GIVES POSITIONS BUT JESUS GIVES ANOINTING AND MINISTRY,
GIFTS ARE GIVEN BY THE HOLY SPIRIT:
Therefore it doesn’t matter how anointed you are, but you
can be denied a position while you are anointed.
Example: Satan is anointed and
he can do miracles but he was DENIED a position and was given a LOWER POSITION;
First position is the SPIRIT OF THE LORD, second is LIGHT and third was given
to darkness.
Ezekiel 28:12-13. Here we see that all the beauty and the
admirable things were placed in him, but he was not given the higher position.
WHEN GOD WAS CREATING YOU HE PLACE THINGS IN YOU, HE DID NOT
CREAT YOU FOR A TITLE. Example: You can be a good football player but not a
team Captain (playing your ball well does not make you a Captain but a Coach
Decision because he knows who can LEAD others in DECIPLINE).
DESIRE TO BE YOU, WHOM GOD HAS CREATED; DO NOT WANT TO BE
LIKE OTHERS.
• If you desire to be in a POSITION which is not yours, you will be brought down and lowered to the ground.
• If you will not understand God’s PROTOCOL you will be brought down and everyone will be surprised.

DO NOT DESIRE A POSITION GOD DID NOT GIVE YOU.
© Servant of GOD Apostle and Prophet Josephat Elias
Mwingira, EFATHA MINISTRY.
Translation:
NAFASI ANATOA MUNGU LAKINI UPAKO NA HUDUMA ANATOA YESU,
VIPAWA ANATOA ROHO MTAKATIFU:
Kwahiyo haijalishi una Upako kiasi gani, lakini Nafasi unaweza ukanyimwa na Upako unao.
Mfano: Shetani anao upako na anaweza kufanya maajabu lakini nafasi ALINYIMWA na akapewa NAFASI YA CHINI; Nafasi ya Kwanza ROHO wa BWANA, ya pili NURU na ya tatu likapewa giza.

Ezekiel 28:12-13 Hapa tunaona kuwa uzuri wote na vitu vya
kutamanika viliwekwa ndani yake, lakini hakupewa Nafasi ya juu.
WAKATI MUNGU ANAKUUMBA ALIWEKA VITU NDANI YAKO, HAKUKUUMBIA
CHEO. Mfano: Unaweza ukawa mchezaji mzuri wa mpira katika uwanja lakini usiwe
Captain wa team (kucheza kwako mpira vizuri haikufanyi uwe Captain bali ni
Maamuzi ya Kocha maana yeye ndiye anayejua yupi anayeweza KUONGOZA wengine wakaenda
kwa ADABU).
TAMANI KUWA WEWE, YULE AMBAYE MUNGU ALIMFANYA; USITAMANI
KUWA KAMA MWINGINE.
• Ukitamani kukaa kwenye NAFASI ambayo sio yako, utashushwa na kuporomoshwa mpaka chini.
• Usipoelewa ITIFAKI ya Mungu utaporomoshwa mpaka kila mtu atakushangaa.
• Ukitamani kukaa kwenye NAFASI ambayo sio yako, utashushwa na kuporomoshwa mpaka chini.
• Usipoelewa ITIFAKI ya Mungu utaporomoshwa mpaka kila mtu atakushangaa.
USITAMANI NAFASI AMBAYO MUNGU HAJAKUPA.
©Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira,
EFATHA MINISTRY.
Comments
Post a Comment