YOU WILL NEVER KNOW SOMEONE’S GOODNESS, OUT OF LOVE
You cannot know how good another person is until when you are in love, so when you love people you will see their goodness.
LOVE makes you CHANGE people for them to get into LOVE, because they were created in LOVE.
GOD is LOVE, so anything of HIS likeness is in LOVE.
EVERYONE OF US HAS LOVE
What happened?
• Evil came and polluted that LOVE. So when you go back in LOVE you cause another person to return to their position.
©Servant of GOD Apostle and Prophet Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.


Translation:

HUTAKAA UJUE UZURI WA MTU, NJE YA PENDO
Hutaweza kujua mwingine ana uzuri kiasi gani mpaka pale unapokuwa katika pendo, hivyo ukiwapenda watu; utauona uzuri wao.
PENDO linakupelekea UWABADILISHE watu wafikie kunako PENDO, kwa sababu waliumbwa katika PENDO.
MUNGU ni PENDO hivyo chochote kinachofanana na YEYE, kipo katika PENDO.
KILA MMOJA WETU ANA PENDO NDANI YAKE
Nini kilitokea?
• Uovu ulikuja na kuchafua hilo PENDO. Hivyo unaporudi katika PENDO unasababisha na mwingine arudi katika nafasi yake.
© Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.


Comments