IT IS ONLY IN LOVE YOU CAN CARRY PEOPLE in your heart and take them before the LORD and make them see GOD as their FATHER.
• Love will teach you about the environment you are living.
• Love will tell you about your environment and the environment of others and direct you what to do
When you graduate in LOVE, is when GRACE COMES and enables you to do things without getting tired.
DON'T GET TIRED OF SOMEONE
LOVER NURTURES
• To nurture means to get along with how a person is
• If you can withstand the challenges of environment, LOVE will do wonders to you
A person fails to fulfill his/her LOVE to GOD and people because of environment
© Servant of GOD Apostle and Prophet Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.

Translated (Swahili)
NI KATIKA PENDO TU UNAWEZA UKABEBA WATU moyoni mwako na kuwapeleka mbele za BWANA na kuwafanya wamuone MUNGU kama BABA yao.
• Pendo litakufundisha kuhusu mazingira unayoishi.
• Pendo litakueleza kuhusu mazingira yako na mazingira ya wengine na litakueleza kipi ufanye.
Unapohitimu katika PENDO, ndipo NEEMA HUJA ili kukuwezesha kufanya vitu pasipo kuchoka.
KAMWE USIMCHOKE MTU

PENDO HULEA
• Kulea maana yake, kuchukuliana na hali ya mtu.
• Ukiweza kuhimili changamoto ya mazingira, PENDO litakufanyia maajabu.
Mtu hushindwa kutimiza PENDO lake kwa MUNGU na watu kwa sababu ya mazingira.

© Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.


Comments