Always SECURE your Income before you begin to spend it. First of
all tend to your Business and once it begins to add Profit, you can then build
a House by that Profit earned in the Business. Do not begin to use the same
Business Money for other expenses that are not Business oriented. If you do
that you shall see a drop in your Economy day by day.
Don’t use your Business Capital for other things. Maintain your
Capital so that you can see Progress. Reduce unnecessary Expenses and your
Business shall RISE faster.
Translation:
Siku zote weka Ulinzi kwanza wa Mapato yako kabla ya kuanza kufanya
Matumizi, tengeneza Kazi yako kwanza ukiona inaanza kuleta Faida ndipo ujenge
Nyumba kupitia hiyo Faida ya Biashara yako, siyo unaanza kuchukua hela hiyo
hiyo ya Biashara unaanza kufanya matumizi mengine yasiyo ya kibiashara ukifanya
hivyo utoona Ustawi ukitokea kwako bali utaona unazidi kushuka kiuchumi siku
hadi siku.
Usitumie
Mtaji wako wa Biashara wa ajili ya Matumizi mengine bali tunza Mtaji wako ili
uwone Ustawi, punguza Matumizi yasiyo na ulazima ukifanya hivyo utaona Biashara
yako ikiinuka kwa haraka zaidi.
© Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, EFATHA
MINISTRY.
Comments
Post a Comment