When God Uplifts you and makes you Prosperous, shows that you have a Responsibility to those who are around you. You are not Uplifted and Prosperous to harm them.
If God uplifts you in your marriage, don’t create enmity with your sister in-laws or mother in-laws cause God has allowed you to be uplifted to help them and not harm them.
Don’t accept anything that you are told concerning your in-laws. If they tell you that your mother in-law is the witch don’t mind it nor create enmity, else Lover her more; by doing so she will not be against you for Love has Power above all.
:- Servant of GOD Apostle and Prophet Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.

Translation:
Mungu anapo KUINUA na KUKUSTAWISHA ukawa Juu ina maana kuwa una MAJUKUMU kwa Wale wanaokuzunguka na siyo KUWAANGAMIZA.
Mungu AKIKUINUA katika NDOA yako usiwe na uadui na Mawifi zako wala Wakwe zako kwa sababu Mungu ameruhusu KUINUKA kwako ili KUWASAIDIA HAO na siyo KUWAMALIZA.
Usikubaliane na chochote utakachoambiwa kinyume nao, hata kama watakwambia kuwa Mama mkwe wako ni mchawi usiwe na uadui naye, ndiyo kwanza Mpende zaidi, kwani kwa wewe kufanya hivyo kamwe hata kuwa kinyume na wewe, kwa sababu UPENDO una Nguvu kuliko kitu chochote.
:- Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.

Comments

Popular posts from this blog

Mithali 8:17-21 "Nawapenda wale wanipendao, na wale wanitafutao kwa bidii wataniona. Utajiri na heshima ziko kwangu, Naam, utajiri udumuo, na haki pia. Matunda yangu hupita dhahabu, naam, dhahabu safi, na faida yangu hupita fedha iliyo teule. Natembea katika njia ya haki, katikati ya mapito ya hukumu. Niwarithishe mali wale wanipendao, tena nipate kuzijaza hazina zao." Proverbs 8: 17-21 "I love them that love me; and those that seek me early shall find me. Riches and honour are with me; yea, durable riches and righteousness. My fruit is better than gold, yea, than fine gold; and my revenue than choice silver. I lead in the way of righteousness, in the midst of the paths of judgment: That I may cause those that love me to inherit substance; and I will fill their treasures."