TOPIC: THE VALLEY OF DEATH.
Psalms 23:4 “Even though I walk through the valley of the shadow of death, I will fear no evil, for you are with me;”
What does it mean when HE says the valley of the shadow of death?
In the Valley of the shadow of death, is your environment that you are going that makes you not see the way:  no life.
You find that everything that you do is not successful and your vison (thoughts) vanishes; at times you see death and not life; this is a sign that shows anything can happen at any time. At this point know that you are walking through the valley of the shadow of death.
The Tormentor is the one who prepares such Environment for you. He organises Accidents, Sicknesses, robbers to attack you etc.  When walking through the valley the Tormentor keep watch on you;  In other words, they can prepare anything  in your life that makes you feel as if you are finished.
You might have walked through that kind of Environment or you will walk through it. To come out of the valley you need the Anointing of a Good Shepherd.
 When you see  everything is being destroyed, not successful , perishing ; KNOW THAT YOU NEED JESUS CHRIST TO BE CLOSE TO YOU MORE THAN ANYTHING ELSE because HE is OUR  Good Shepherd.
© Servant of GOD Apostle and Prophet Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.

Translation:
SOMO: BONDE LA MAUTI
Zaburi 23:4 "Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti; sitaogopa mabaya".
Anaposema bonde la uvuli wa mauti ana maana gani?
Katika bonde la mauti ni mazingira unayopitia, ukiangalia unaona hakuna uhai. Kila kitu unachokifanya hakifanikiwi, kila neno unalowaza linakufa. Hata wakati mwingine unaona hali ya kifo; uhai umepotea. Hii ni hali ya kuona chochote kinaweza kutokea wakati wowote. Hapo ujue unapita katika bonde la uvuli wa mauti.
Hiyo ni kazi ya watesi kuangalia hilo bonde. Wanaotayarisha bonde hili ni watesi wako; wanaweza kukuandalia ajali, magonjwa, majambazi n.k yaani wanaweza kukufanyia chochote ambacho utaona maisha yako uko kwenye kifo.
Yawezekana umepita katika hali ya aina hiyo au utapitia hali hiyo! Namna ya kutoka katika bonde hilo. Unahitaji Upako wa Mchungaji Mwema, unapoona kila kitu kinaharibika, kila kitu hakifanikiwi, kila kitu kinakufa UNAMHITAJI YESU KRISTO AWE KARIBU NAWE KULIKO KITU KINGINE CHOCHOTE, Maana YEYE ndiye Mchungaji Mwema.
© Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.

Comments