THE ONLY WEAPON OF VICTORY IF YOU HAVE HELD IN THE VALLEY OF THE SHADOW OF DEATH.
1. The Word of God should stay in you a lot.
2. Be filled with the Holy Spirit.
© Servant of GOD Apostle and Prophet Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.
 Translation:
SILAHA PEKEE YA KUSHINDA UWAPO KATIKA BONDE LA UVULI WA MAUTI.
1. Neno la Mungu lijae kwa wingi sana ndani yako.
2. Uwe umejaa Roho Mtakatifu ndani yako _ unaweza kububujika kwa kunena kwa lugha wakati wote hali hiyo inapokujia mahali popote.
© Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.


Comments