MWEZI WA KUFUNGA NA KUOMBA (01-31 MAY 2019)
Huduma ya EFATHA inayofuraha kuwakumbusha Wana Efatha wote
popote walipo, kuhusiana na ratiba ya KUFUNGA NA KUOMBA itakayofanyika vituo
vyetu vyote duniani kote; kuanzia tarehe 01-31 May 2019. Ili kupata utaratibu
na maelekezo yote ya Ibada hii fika katika kituo cha EFATHA kilichokaribu
nawewe.
Comments
Post a Comment