If you want to go to Heaven, you must have the Power of God in
you that gives you a Good Relationship and the Ability to do the Will of God.
The Children of God on the way to Heaven shall never prosper by using the power
of darkness while the children of darkness always prosper using the power of
darkness because it is their fate.
If you have a problem, you should know that there is a Power
missing in you. So you need to seek the Power of the Blood of Jesus which
exceeds all other powers to enable you to overcome any problem you might be
having.
© Servant of GOD Apostle and Prophet Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.
Kama unataka kwenda Mbinguni ni lazima uwe na Nguvu ya Mungu
ndani yako itakayokupa Mahusiano mazuri na kukuwezesha kufanya Mapenzi yake kwa
Ukamilifu. Wana Mungu wanaokwenda Mbinguni hawawezi Kustawi kwa kutumia nguvu
za giza, lakini wana uovu wanastawi kutumia nguvu za giza kwa sababu ndiyo
fungu lao.
Hivyo ukiona jambo lolote linakusumbua jua kwamba ndani yako
Nguvu ya Uwezesho imekosekana, kwa hiyo itafute Nguvu ya Damu ya Yesu inayozidi
nguvu zote ili iweze kukuvusha katika Jambo au Tatizo linalokusumbua.
© Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.
Comments
Post a Comment