Deuteronomy 28:2-3 “And all these blessings shall come upon you and overtake you, if you obey the voice of the LORD your God. 3 Blessed shall you be in the city, and blessed shall you be in the field.”
The thoughts of God towards the women is to Bear Fruit. If your womb is cursed so will be your offspring.
For you the Women who do not have CHILDREN yet, make sure your womb is BLESSED so that your children shall be blessed.
© Servant of GOD Apostle and Prophet Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.


Translation:

Kumbukumbu la Torati 28:2-3 “Na Baraka hizi zote zitakujilia na kukupata usikiapo sauti ya BWANA, Mungu wako. Utabarikiwa mjini, utabarikiwa na mashambani.”
Wazo la Mungu kwa wewe mwanamke ni KUZAA MATUNDA, kama tumbo lako la UZAZI limelaaniwa hata UZAO wa TUMBO lako pia unakuwa UMELAANIWA.
Wewe mama au dada ambaye HAUJAZAA watoto bado hakikisha UMEBARIKIWA ili UZAO wa TUMBO lako uwe UMEBARIKIWA.
© Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.


Comments