When you have problems at
Work or inside your Family because of your SALVATION, REJOICE and do not be
offended, for they know that you have JESUS. Show them that you have JESUS
inside You also. You should rejoice because of the ridicule they give you
because it is a sign that they know you have JESUS and JESUS advocates for
Himself.
© Servant of GOD Apostle
and Prophet Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.
Translation:
Ukisumbuliwa na kupata shida
Kazini au Ndani ya Familia kwa sababu ya WOKOVU wako SHANGILIA wala usikasirike
kwa kuwa wamejua uko na YESU na wewe waonyeshe kuwa YESU yuko Ndani yako,
unahitaji kushangilia kwa vile vituko wanavyofanya kwako maana ni dalili ya
kuwa WAMEJUA uko na YESU na YESU lazima Ajitetee mwenyewe.
Ukikasirika
unaposemwa kwa sababu ya YESU inaonyesha unafurahi kuwa na hao watu kuliko kuwa
na YESU, unatakiwa useme “Asante YESU kwa maana uko nami sasa waonyeshe kuwa
niko nawe ndani yangu”, sisi tulio na YESU tunakaza mwendo kuiyendea Mede ya
thawabu kwa hiyo usihuzunike wakikusema kwa sababu ya Wakovu bali FURAHI na
Mshangilie Mungu maana unajua AMEKUTOA wapi na ANAKUPELEKA wapi na hapo ulipo
hujafika bado bali kaza Mwendo ili uifikie THAWABU ya WITO Mkuu wa Mungu.
© Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.
© Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.
Comments
Post a Comment