WHEN MOVING WITH GOD YOU
MUST OBEY INSTRUCTIONS.
When you are moving with God, you must OBEY HIS Instructions without any worry about the Environment surrounding you. The character of OBEDIENCE enables someone to gain the ability to Discern. God always searches for an OBEDIENT Person to do HIS Work.

Why does God seek and use
only those who are ready to Obey? This is because God’s instructions are beyond
our thinking Capabilities. Our views are different from God’s views and that is
why HE needs an OBEDIENT person to Do HIS Will.
Are you ready to OBEY the
Voice of God?
©Servant of GOD Apostle and Prophet Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY

Translation:
UNAPOTEMBEA NA MUNGU NI LAZIMA UKUBALI KUTII MAAGIZO.
Unapotembea na Mungu ni lazima Ukubali KUTII MAAGIZO bila kujali Mazingira yaliyoko. Tabia ya UTII ikiwa ndani ya Mtu inamsababishia Mtu Kujaliwa Uwezo wa Kupambanua. Mungu siku zote humtafuta mtu aliye tayari KUTII ili amtumie kwa KAZI yake. Kwa nini Mungu humtafuta aliye TAYARI Kutii ili amtumie? Hii ni kwa sababu MAAGIZO ya Mungu siku zote yako Nje ya Uwezo wetu wa Kufikiri, pia MTAZAMO wetu na Mungu ni Tofauti. Hivyo ili Mungu Aweze kufanikisha Kazi yake ni lazima ampate Mtu aliye tayari KUTII.

Je Upo tayari
KUTII SAUTI YA Mungu?
©Mtumishi wa
MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY
Comments
Post a Comment