THE SUCCESS OF ANY FAMILY IS DEPENDENT ON THE MENTALITY OF THE WOMAN OR WIFE OF THAT PARTICULAR HOUSE AND HOW SHE IS!!! 
What is required is that the women should DISCERN themselves.
– Before the coming of a woman, Adam did not eat the forbidden fruit, he did not see himself being naked and he did not hide away from God; but after the woman had come, he ate the forbidden fruit, he realized that he was naked and he hide away from God.
– So, the woman is the one who causes things to Happen.
– Through the woman sin came and through the woman DELIVERANCE came.
– So the woman is the one who can cause the husband to perish or to be SAVED and in return leading to PROSPERITY.

Ask yourself; what kind of Language do you use to SPEAK with your Husband? Does it cause him to be STRENGTHENED or to be Weakened?
© Servant of GOD Apostle and Prophet Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.

Translation:
MAFANIKIO YA FAMILIA YEYOTE, YANATEGEMEANA SANA NA AKILI YA MWANAMKE AU MKE WA NYUMBA HIYO YUPOJE!!!
Kinachotakiwa kufanyika ni kwamba, mwanamke lazima AJITAMBUE.
- Kabla ya kuja kwa Mwanamke, Adamu hakula tunda, wala hakujiona uchi na hakuukimbia Uwepo wa Mungu; lakini mara baada ya kuja kwa mwanamke, Adamu alikula tunda, alijiona uchi na alikimbia Uwepo wa Mungu.
- Hivyo Mwanamke ndiye anayesababisha Mambo yatokee.
- Kupitia mwanamke dhambi iliingia ulimwenguni na kupitia Mwanamke UKOMBOZI ulikuja.
- Hivyo Mwanamke ndiye anayesababisha mwanaume aangamie au AOKOLEWE na hatimaye kusababisha USTAWI.
Jiulize swali:
Je! Ni Lugha ipi unaitumia KUZUNGUMZA na Mumeo, Je! inamfanya atiwe NGUVU au adhoofike?
© Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.

Comments