Sin is rebellion that caused the earth to be invaded with
destruction and the hardship we see within this world; thus SIN causes lot of
destruction unto God's creation. Always sin isolates a person from God, who is
the BEGINNING of his Help.
Psalms 46:1 "God is our refuge and strength, a very present
help in trouble."
God is the HELPER and HOPE of man all the time, thus stay away
from sin; so that you may see God's SUPPORT in all spheres of your Life.
© Servant of GOD Apostle and Prophet Josephat Elias Mwingira,
EFATHA MINISTRY.
Translation:
Dhambi ni uasi uliofanya dunia kuingiwa na uharibifu na
kusababisha hali ngumu tunayoiona ndani ya jamii ya ulimwengu; hivyo dhambi
inasababisha maangamizi makubwa kwa Uumbaji wa Mungu. Siku zote dhambi humtenga
mtu na Mungu, aliye MWANZO na MSAADA wake.
Zaburi 46:1 "Mungu kwetu sisi ni Kimbilio na Nguvu, Msaada
utakaoonekana tele wakati wa mateso".
Mungu ndiye MSAADA na TUMAINI la Mwanadamu wakati wote, hivyo
Kaa mbali na dhambi ili uweze kuona Mungu akikutetea katika kila hatua ya
Maisha yako.
© Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira,
EFATHA MINISTRY.
Comments
Post a Comment