Most youths want to enter into Marriage without PREPARATIONS. This means that, they want to enter into the school of Marriage but don't know what they will eat or where they will sleep. You need to understand that, "if you have Married and you are not working, it is so hard to gain respect within your Family". Even when you take a look in our stewardship within the Kingdom of God, those servants who have been called by the LORD don't face the same challenges compared to those who called themselves into ministry.
Always and all the time, whatever that you want to do; put God FIRST and do not rely on your MIND because once you decide to start with God at everything, it is so easy to get HIS ASSISTANCE.
© Servant of GOD Apostle and Prophet Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.

Translation.
Vijana wengi wanataka Kuoa lakini HAWAJAJIANDAA yaani hawajui watakula nini wala watalala wapi, elewa kama Umeoa na hufanyi kazi ni shida SANA kupata HESHIMA kutoka kwenye Familia yako, hata ukiangalia katika UTUMISHI wa Mungu wale Watumishi walioitwa na Bwana Yesu wamtumikie hawapati matatizo kama wale ambao wametaka Utumishi ili wanonekane kama mtu Fulani waliyemuona ana hali nzuri kupitia Utumishi.
Siku zote JAMBO lolote unalotaka kulifanya anza na Mungu na usitumie AKILI ZAKO maana unapoamua kuanza na Mungu katika kila jambo lako ni rahisi sana kupata MSAADA wake.
© Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.

Comments

Popular posts from this blog

Mithali 8:17-21 "Nawapenda wale wanipendao, na wale wanitafutao kwa bidii wataniona. Utajiri na heshima ziko kwangu, Naam, utajiri udumuo, na haki pia. Matunda yangu hupita dhahabu, naam, dhahabu safi, na faida yangu hupita fedha iliyo teule. Natembea katika njia ya haki, katikati ya mapito ya hukumu. Niwarithishe mali wale wanipendao, tena nipate kuzijaza hazina zao." Proverbs 8: 17-21 "I love them that love me; and those that seek me early shall find me. Riches and honour are with me; yea, durable riches and righteousness. My fruit is better than gold, yea, than fine gold; and my revenue than choice silver. I lead in the way of righteousness, in the midst of the paths of judgment: That I may cause those that love me to inherit substance; and I will fill their treasures."