If you believe that there is a Healer, you also need to know that there is also a Destroyer who is Satan, the boss of all curses. You will never enjoy life; (even though you talk in Tongues) if there is something oppressing you. Make a decision to turn to the LORD because HE will heal you from all that is oppressing you.
When all of your suffering has left, you will say that, “I was tortured, but the Lord has HEALED me,” because the Lord will let HIS Glory come into your Life and everything that is against you shall be removed.
©Servant of GOD Apostle and Prophet Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.

Translation:
Kama unaamini yupo Aponyae unatakiwa kujua pia yupo aharibuye ambaye ni Shetani boss wa laana, huwezi kupata Furaha katika Maisha yako hata kama unanena kwa Lugha kama yapo yanayokutesa na kukukandamiza, Amua kumgeukie Bwana, maana unapomlilia Bwana katika hayo yanayokutesa. Bwana ATAKUPONYA na KUITULIZA dhoruba na kuwa Shwari.
Maana yanayokupeperusha na kukutikisa yatakapoondoka kwako nawe utasema “niliteswa sana lakini Bwana AMENIPONYA” kwa sababu Bwana ataruhusu NURU ikujie katika Maisha yako hivyo chochote kilicho kinyume na Mapenzi yake lazima KITAONDOLEWA.
© Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, FATHA MINISTRY.

Comments

Popular posts from this blog

Mithali 8:17-21 "Nawapenda wale wanipendao, na wale wanitafutao kwa bidii wataniona. Utajiri na heshima ziko kwangu, Naam, utajiri udumuo, na haki pia. Matunda yangu hupita dhahabu, naam, dhahabu safi, na faida yangu hupita fedha iliyo teule. Natembea katika njia ya haki, katikati ya mapito ya hukumu. Niwarithishe mali wale wanipendao, tena nipate kuzijaza hazina zao." Proverbs 8: 17-21 "I love them that love me; and those that seek me early shall find me. Riches and honour are with me; yea, durable riches and righteousness. My fruit is better than gold, yea, than fine gold; and my revenue than choice silver. I lead in the way of righteousness, in the midst of the paths of judgment: That I may cause those that love me to inherit substance; and I will fill their treasures."