DON’T RELY ON
PEOPLE.
When the born
again people facing challenges and do not know this secret, they always go to
other people for help and end up tripping themselves. This is because the
person you are relying on is also facing his/ her own difficulties. When they
don’t help you then you lose hope and feel offended.
We read Jeremiah
17:5 “Thus says the LORD: “Cursed is the man who trusts in man and makes flesh
his strength, whose heart turns away from the LORD.”
Rely on God
through the HOLY SPIRIT who was given to you to MOVE with. DO NOT RELY ON HUMAN
BEINGS.
© Servant of GOD
Apostle and Prophet Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.
Translation:
USIMWANGALIE MWANADAMU.
Watu waliookoka wanapokutana na Mambo magumu kama hawajui siri hii, basi wanawaangalia watu wengine wawasaidie na ndipo wengi wanapojikwaa. Hii ni kwa sababu yule mwanadamu unayemtegemea akusaidie naye anayo ya kwake mengi. Anaposhindwa kukusaidia basi unakata tamaa na kukwazika.

Tunasoma: “BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule
amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake, na Moyoni mwake
amemwacha BWANA.” Yeremia 17:5
MWANGALIE MUNGU KUPITIA ROHO MTAKATIFU ambaye Ulipewa
Kutembea naye, USIMWANGALIE MWANADAMU.
© Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias
Mwingira, EFATHA MINISTRY.
Comments
Post a Comment